Dhifa ya kitaifa kwa mwana wa mfalme ikulu ya tz, ktk picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhifa ya kitaifa kwa mwana wa mfalme ikulu ya tz, ktk picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by COMPLICATOR2011, Nov 9, 2011.

 1. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  [​IMG]
  Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.
  [​IMG]
  Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo.
  [​IMG]
  Rais Dkt Jakaya Kikwete akinyanyua glasi juu kuwatakia afya wageni wake na msafara wao.​
  [​IMG]
  Makofi baada ya hotuba ya Rais.​
  [​IMG]
  Prince Charles akisoma hotuba yake.​
  [​IMG]
  Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  kashindwa kufika arusha
   
 3. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  hawezi kwenda kule kaka
   
Loading...