BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,335
- 1,386
Ni ukatili. Mtz akiua albino haui kwa sababu anamchukia, anaua kwa sababu za kishirikina. Mtz akiua kikongwe ni kwasababu ya hofu ya uchawi.Mkuu vipi kuhusu mauaji ya Albino na vikongwe wanaotuhumiwa kwa mambo ya kishirikina huo sio ukatili? Vipi kuhusu vibaka wanaochomwa moto mitaani bila kufikishwa mahakamani,huo sio ukatili?
Waarabu wanakatili weusi kwasababu ya kuwachukia tu. Swala lao ni la utashi halihusiani na imani wala nini. Pia wapo wazungu wanawachukia waafrika kiutashi na wala sio kwa imani.