ZION😀😀Unasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??
Mwanachuo kuandika hujui??
hongera sana mwanachuo ila jifunze matumizi ya "h" haistahili kuwepo kwenye baadhi ya maneno.Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Kasha sema anatoka gongo la mbotoUnasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??
Mwanachuo kuandika hujui??
Mwanzo mwisho, hamna nukta wala mkatoWakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
KIUKasha sema anatoka gongo la mbotoView attachment 1119631
Are you crazy?Wakuu kheri ya iddi

Itakuwa anasoma ZOOMUnasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??
Mwanachuo kuandika hujui??
Tuna hali tete kiongozi wee acha tu, na hata kwa ndumba hatutoki. Sijui tunaelekea wapi kama taifa. Aibu tupu na hakuna anayejali hata kidogo. Halafu huyo dogo ambaye hata kiswahili kinamshinda utakuta hata kilugha cha kwao hajui. Mungu pekee aingilie kati hili janga.Dah! Masikini elimu ya Tanzania ndiyo bai bai!!