PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,309
- 3,447
Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..
Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..
Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi
Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari
....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways
Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..
Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...
#sioLazimaUelewe
#HiiNiKwaWaelewa#nawalasijaelewa...
UBINADAMU pia ni kitu kikubwa...Pesa ndio kila kitu na nitazisaka daima
Mkuu... Kama wasipopata kazi huwa wanajifunza maisha na dharau zinapunguaHata kama hutaki nielewe nimeielewa tu. Kuna uwezekano,wasomi wengi wana dharau hata kama hana hela wala kazi nzuri,wengi wamejawa na dharau,lakini hiyo kwa wasomi wa Tanzania tu ndio wenye tabia hiyo.
Ukazikwe nazo jifunze kwa suleiman!Pesa ndio kila kitu na nitazisaka daima
Hela zinatafutwa ....ila busara ni muhimuMkuu ,ukiwa na pesa hao waliosoma mbona watakupigia magoti
Tafuta hela mkuu unakwama wap
kwa sababu hawapigii kura chama chako au?Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..
Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..
Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi
Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari
....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways
Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..
Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...
#sioLazimaUelewe
Unaanza kuleta siasa....ivi kama mtu amesoma basi akipita mbele ya wazee wasio na Elimu haina haja kuwasalimia?kwa sababu hawapigii kura chama chako au?
Kusoma ni kujifunza na kujifunza ni kubadilika
Kama umesoma halafu upo vile vile kapimwe mkuu
Wewe unachukia wajuaji? unataka watu wa ndio mzee.
Binadamu anapenda uhuru hivyo akisoma anajua kidogo haki zake ,hivyo lazima awe mbishi na kuhoji
CC: King musukuma,,hivi huyu nae ana Bachelor?? Mbona ana dharau kilo miaHii vita ya asili kati ya wasomi vs wasiosoma sijui itaishi lini!!!
Ni sawa tu na zile ligi za warefu vs wafupi, wanene vs wembamba
My take: Dharau ni hulka tu ya mtu haijalishi kasoma au la...
[emoji23][emoji23]eti shule ulienda kusomea ujinga.
Wewe mutu mujinga unajua hii kitu inaitwa jamii forum imetengenezwa na wasomi halafu hako kasimu unakotumia kametengenezwa na wasomi? wewe nenda shule acha hoja dhaifu na pelepecheNimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..
Watu wengi wenye elimu kuanzia Bachelor huwa wanadharau sana hasa pale wakipata kazi nzuri.. Kwenye familia kama mtu akitoa maoni huwa wanaona ni maoni ya kimaskini ... Naomba Mungu anisaidie nisiwe hivyo..
Hapa waondoe madaktari, madaktari hawana majivuno sana nahisi kwasababu ya mazingira yao ya kazi
Wanafunzi wa IFM wana maringo sana ukilinganisha na wanafunzi wa KCMUC wanasomea udaktari
....... Nasikia DAB alisomea MUCCOBS..anyways
Hata hapa jf, watu wana dharau sana.. Kiongozi akiwa ni yule anae waambia watu wamesomea ujinga..
Watu wengi humu ni wajuaji sana, alafu wanajua kila kitu...
#sioLazimaUelewe
Mimi mwenyewe nimesoma...Wewe mutu mujinga unajua hii kitu inaitwa jamii forum imetengenezwa na wasomi halafu hako kasimu unakotumia kametengenezwa na wasomi? wewe nenda shule acha hoja dhaifu na pelepeche
Dharau si mbaya kama kinachodharauliwa kinastahili kudharauliwa.Nimefanya kautafiti nimegundua watu waliofanikiwa lakini hawana elimu ya darasani, wanashukrani sana pia wanarudisha fadhila kwa jamii..