DHANA YA WANAWAKE KUNYWA POMBE

chief1

JF-Expert Member
May 4, 2015
1,415
1,409
Habari wakuu,
Kumekuwako na ongezeko la wanawake katika swala zima la kukaa baa na kunywa pombe kwa makundi makundi,
Mimi huwa namchukulia tofauti kabisa mwanamke anayekunywa pombe, ataweza kuwa na familia bora kweli,hatakuwa mzigo tu nyumbani, pia ni ishara ya uhuni flani,watoto nao wanaweza kuwa vyapombe tu,
Kwa mimi siwezi kuoa mwanamke chapombe,
Nyie wanawake mnaokunywa pombe acheni mara moja,mtatuletea taifa lisilojielewa...

Ni maoni yangu tu wakuu msinichukie...lazima tuseme ukweli
 
Unapiga ofa ya mbili tatu, kisha unashika mkono guest house. Wengi wao ni easy going
 
Habari wakuu,
Kumekuwako na ongezeko la wanawake katika swala zima la kukaa baa na kunywa pombe kwa makundi makundi,
Mimi huwa namchukulia tofauti kabisa mwanamke anayekunywa pombe, ataweza kuwa na familia bora kweli,hatakuwa mzigo tu nyumbani, pia ni ishara ya uhuni flani,watoto nao wanaweza kuwa vyapombe tu,
Kwa mimi siwezi kuoa mwanamke chapombe,
Nyie wanawake mnaokunywa pombe acheni mara moja,mtatuletea taifa lisilojielewa...

Ni maoni yangu tu wakuu msinichukie...lazima tuseme ukweli
Kwani kichwa/kiongozi wa familia ni nani katika nyumba?
 
Back
Top Bottom