Cc KasieSalamu wakuu.....
Limeongezeka wimbi la wanawake wenye umri mkubwa kuanzia miaka 30-45 kutokuwa kwenye ndoa au mahusiano ya maana au kutokuwa na mtoto\watoto!!
Hali hii inapelekea hawa Dada zetu kuwa na mawazo na roho mbaya na kutojielewa...
Hasira zote zinatuishia sisi vijana under 25.....
Ivi sisi tumewakosea nini?? Kwanini msideal na wahenga wenzenu??
Sisi mtuache tupumue hatujakimbia mimba zenu wala kuwaharibia maisha.
Mnapokuja na thread zenu za hasira sisi mtuache bado vijana tunatafutaa mtuache kabisaa...
mwenzio kakutana nao na sio mawazo yakeKijana hayo ni mawazo yako tu wanawake hawako hivyo. [emoji1]
Mmezidi kutuoneaa nyie watuVijana leo wametoa ya moyoni
Dah nikikumbuka nataka liaamwenzio kakutana nao na sio mawazo yake
HahahaaaAlaf kijana kuoa mwanamke aliyezidi miaka 30 ni sawasawa na kununua gazeti jioni, watuache,
Afu mkuu hii ID siyo ya mwanamke asee huyo ni dume mcheki vizuri afu semaaa hiiiiiiiinaona jiwe limekupata anti kiritika maana umetukoromea utafikiri sisi tuliokuzeesha
Hapo tutasamehana mkuuMkuu kwaiyo hautaki kuoa muhenga
Sijui anataka tutafunejee kwa mjibu wake!!!!sasa na wewe unataka vijana wa nini?wakati umri umeenda
Yeah madongo anayotupiga sisi akawapige wahenga wenzakeSAFI SAANA UMEMKUMBUSHA HUYO ANTI MUMU AACHE HASIRA ZAKE KWA SISI VIJANA AENDE KWA MAZEE MENZIE
Ahahhaaah hatari wanaomtongoza huko watakuja tapeliwa kama kwa Joyce wowowoooonimeanza kumshitukia mkuu
Ahahahaa kazi kweli kweli hawa watu bhananaona anawapata wazee wenzie tu ndo anakuja kutuponda sie vijana
Hatari ngoja tuone kama ataendelea kutusakamaaende kwa mazee kama yeye
Joyce wowowoo stylewana jukwaa tuchukue tahazari sababu tapeli limo jukwaani hahahhh
Maelezo anayo yatoa ni yakiume kabisa afu anajikutaa demuu ahahahahahaah kama mazuri vilemazee yanashindwa kumfikisha anakuja kutukoromea sisi,atumie vidole vitatu alivyokuwa anatushauri
Waambie waache kutusumbuaaa hao watu wenuNyie vijana ebu hao wanawake wa 30-45 mtuachie sisi wanaume tuonaojua kuwafikisha wanapotaka na kuwaondolea hasira(stress). Naomba msiwasumbue
Hahaaaa dogo umenichekesha sana. Wanakuja kwenu kwasababu bado hamna uzoefu wa kuhandle issues, kwahiyo akikutikisa atatikisika. Sisi huku ni visiki vya mpingu, akija vibaya adundawatuache kabisa mkuu wapambane na kaka zetu wenyewe