Dhana ya nyumba ya milele

Pale majivu yake yanapohifadhiwa ndio nyumba yao ya milele
Mh mkuu mm naona kuna roho zinazotanga tanga hizi zipo nying ambazo pia hutembea na kutafuta sehem tuliv angalizo
Wataalam Wa mambo wanashaur MTU asihaamie bila Dua au maombi nyumba ambayo ilikua tupu bila MTU ndan Kwa kipind kirefu sana ninhatar maana roho kuna roho zitakua zimefanya hayo n makaz na majini mashetan wabaya
Kwa wale wanaochomwa pia Ina maana Kuna watakao amua kuish pale walipochomewa na wale watakaoish kule watakapoenda kutupiwa majivu yao mm nahis nijuavyo Kwa roho Ingawa pale ulipolazwa mwili wake ndio mahala pake lakin. Kuna zile hutembea na kutafuta mahal pengine na huishi huko
 
Ilete fasta mkuu kuna maswali huwa najiuliza mpaka natamani kufa saiv ili nipate majib mujarabu mpaka najishangaa hivi mimi mzima kweli
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Hukumu sio sasa ndio maana kwa imani yako hiyo unaambiwa kuna mwisho wa dunia ama kiama
Kinachokufa ni mwili roho haifi...ndio maana unaambiwa kuna milele aidha jehanum ama peponi
Makazi ya roho ni kaburini lakini hutoka na kutangatanga kama mtu anayetoka nyumbani kwake na kwenda huko na huko
Mwisho siandiki kuaminisha watu kwakuwa haya sio mahubiri huu ni mjadala wa kufikirisha bongo zetu
 
kuna maelfu ya roho zinatangatanga ina maana hatuzooni? je wao wanatutambua?wana uwezo wa kutulinda eg wazaz
 
naskia kama ulimuua huyo mtu lazima roho yake ikuandame na kulipa kisasi..ni kweli?
 
Kumbe ndo maana ajir barabarani haziishi. Mfano kwetu tunazika karibu na nyumba au pembeni kidogo yaan kwenye mazingila mbele ya nyumba.

Sasa hawa wa barabara nasikia nyumba zilizowekewa x zinabomolewa na makaburi kuhamishwa sasa barabara itakayojengwa hapo unategemea nn? Sijui kwetu itakuwaje maana ni desturi makaburi yote yako mbele ya nyumba na nyumba waliweka x. Hiyo kweli kusumbua marehemu ajari hazitoisha.
 
Hilo ni somo tata sana linalohusu "Ulimwengu wa Kiroho" - The Spiritual Realm ". Inasemekana ulimwengu wa Kiroho umegawanyika sehemu kuu mbili, yaani Ulimwengu wa Kiroho ulio wa Mungu na ulimwengu wa Kiroho ulio wa Shetani. Kila upande una utawala wake na nguvu zake. Kwa mujibu wa mleta Uzi " Matambiko na Kafara husaidia kupoza hizo roho ambazo zinasubiria makuburini " hiyo itakuwa ni falsafa nyingine ambayo huenda ni ya Utwala wa nguvu za Giza au Shetani ambao upo na unafanya kazi. Hivyo kutegemeana na falsafa ya upande upi unasimamia maelezo yako yanaweza kuwa sahihi.
 
kuna maelfu ya roho zinatangatanga ina maana hatuzooni? je wao wanatutambua?wana uwezo wa kutulinda eg wazaz
Roho zinazotangatanga hazilindi na huvaa maumbo tofauti ya wanyama ama binadamu...Kama unavyoona huku kwenye ulimwengu wa macho kuna watoto wa mitaani hata huko pia
Wazazi hutujia direct wao huwezi kuwaweka kwenye hilo kundi
 
nimesoma shule ya msingi ambayo kilikuwa kinapita kimbunga kila ijumaa mida kama ya saa sita kasoro, siku moja ulipita upepo mkubwa ulioezua majengo mengi ya madarasa na kuleta madhara hadi tukatangazwa RTD miaka ile,
ilisemekana shule ilijengwa juu ya makaburi, kuna mambo waliweka sawa saivi hakuna tatizo mshana jr
 
hio ipo hata kwa wengine..gata sisi kijijn kwetu kuna nyumbq kuu ya ukoo na nyuma kuna uwanja mkubwq sana makaburi ya memba wote wa ukoo wapo hapo...
 
hio ipo hata kwa wengine..gata sisi kijijn kwetu kuna nyumbq kuu ya ukoo na nyuma kuna uwanja mkubwq sana makaburi ya memba wote wa ukoo wapo hapo...
[emoji115] [emoji15] [emoji144] ni Nyumba nyingi za vijijini ziko hivyo
 
Sehemu yoyote palipokuwa na makaburi kisha pakafanyiwa uwekezaji mwingine, vituko, mabalaa na vibweka huwa haviishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana jr hivi mtu mfano amekufa mwanza, ila makazi yake wakati wa uhai yalikuwa Dar, na akazikwa Mbeya bila kupita Dar (naamini makazi ya roho yake yatakuwa ni mbeya), je roho hiyo inaweza kufika nyumbani Dar?? (Kabla ya mazishi na hata baada ya mazishi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…