Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,948
- 168,786
Shida ya nini sasa acha wakae wenyewe tu, kuna mambo mengi ya muhimu kuliko magroup ya whatsappWanaenda PM.
Shida ya nini sasa acha wakae wenyewe tu, kuna mambo mengi ya muhimu kuliko magroup ya whatsappWanaenda PM.
NIMPENDENANI umetishaHaya mambo ya family group naona watu wengi wanakuwepo lakini mie Apana mda sina kwakweli,kwanza wengine hua hawana kazi au sijui hawana wakuongea nao sasa most of the time hua busy humo na kila mara wana chat,wengine wanakua na stress zao wanakuja kuongelea humo,mie staki kabisa si family group ya Family yangu wala ya family ya Mume.
Family group namaana watu mliokutana kwa baba na Mama,mnashare Mambo yanayohusu familia yenu tuSame people make same group. Mpo kwenye familia moja toka enzi hizo Nyerere na Mwinyi ndio marais,mmeona na kupitia vingi na hata story zenu ni deep.
Sasa ukiongeza mtu aliyeolewa Magufuli ndio rais,itabidi kila mkikumbushia yazamani basi itabidi na yeye muanze kumfafanulia.
#Hastaili kuwa ktk ilo group.