Dhana ya Mkuki

Dhana ya Mkuki

Omeprazole capsules

New Member
Joined
Feb 13, 2025
Posts
4
Reaction score
11
Habari za asubuhi, natumai ni wazima wa afya ndugu zangu

Naomba kupata Elimu kidogo juu ya dhana kwamba Jamii ya kimasia hutumia MKUKI kama ishara ya kuhalalisha zinaa au kuweza kuchepuka na mke wa rafiki au mtu mwingine pale wanapoweka MKUKI mlangoni,

Je hii Mila Bado upo ?

Au ilishapitwa na wakati , maana Nina jirani yangu hapa amehamia ni mmasai ana mke mzuri kweli kama Bado ipo niweze kufanya mambo maana MKUKI tayari nimenunua .

Ahsanteni !
 
Back
Top Bottom