Dhana ya majoho inapotumika vibaya

hao wana diploma in wizi technique

wakina komba asumpta wana degree in ufisadi techinique

kuna huyu ana degree ya havard in ufisadi planning a.k.a mzee wa vijisenti

kuna huyu bibi ana pHD in ufisadi technique and planning

sasa kuna professor in ufisadi technique tezi dume and vasco da gama's certificate........

huyu unamjua
 
Hayo majoho ya masilahi au ya kiini macho kwa sisi wavimba macho na hao ni mabileonea wa kibongo
 

Leo unaez shukiw na watu wenye miamvuli kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…