demeanour says it all!Siku hizi kwenye makampuni makubwa kama ya simu nk kuna vyumba maalum vya mahojiano ya watuhumiwa wa makosa kazini...smart rooms..vyumba hivi ukituhumiwa unaingizwa hapo pekeyako na kufungiwa na kuanza kuhojiwa kupitia vipaza sauti na watu usiowaona lakini wao walikuona kupitia camera zilizofungwa kwenye hicho chumba
[emoji1545][emoji1545]nimeongeza maarifa kaka mkubwademeanour says it all!
asante sana Mshana Jr. Uko vizuri sana!
soma hii:
In assessing her demeanour, the trial court was impressed by PW1 as honest and truthful witness. In cross examination, the witness did not shake. She was consistent that she only recognised the second appellant as one among those who killed the deceased. She also identified him in the identification parade. In the circumstances, we are satisfied that the second appellant was positively identified. For that reason, we are constrained to concur with the trial court and Mr. Kiria, learned Principal State Attorney that the quality of the identification was impeccable, and was not shaken by the second appellant's defence.
Ukweli hubadilika lakini sio uhalisia ...Lakin watu wasema ukiona una piga kelele, unaongea unafanya unavyo taka na watu Hawa kujibu una bidi ujiulize kulikoni.
Ata lema alisema ukimya huu wa CCM juu ya jambo Hilo si wa kawaida.
Roho zinawasuta kwa matendo yao![emoji1545][emoji1545]nimeongeza maarifa kaka mkubwa
Philosophical mind yako ni below intellectuality ya kuelewa andiko la Mshana Jr!De article became nonsense ulivyoihusisha na siasa Tz, mmeachiwa kidogo mtambe mnaanza kuja na conspiracy theories, mtashindwa October afu mtasema mliibiwa.
Muda ni rafiki mzuri Sana ngoja tuone matokeo ya subira zetu kwenye muda na ukimya wa CCM juu ya jambo hiliUkweli hubadilika lakini sio uhalisia ...
They are likely to defy injust orders!Na mamlaka zinauona uhalisia sasa..na si ajabu zikakengeuka maagizo yasiyo na tija kwa taifa
Nijijibu tena, [emoji1787], kuhusisha kutazamana macho na siasa za uchaguzi Tz kipindi hiki cha kampeni ndio upuuzi wenyewe.Ukipata muda naomba ujijibu upuuzi ulioandika mwenyewe
Philosophical mind yako ni below intellectuality ya kuelewa andiko la Mshana Jr!
Nijijibu tena, [emoji1787], kuhusisha kutazamana macho na siasa za uchaguzi Tz kipindi hiki cha kampeni ndio upuuzi wenyewe.
Mnajikutaga wereevu, kumbe mandezi tu, hamjifunzi mlundikano wa watu sio kura. Subiri iyo October
Nijijibu tena, [emoji1787], kuhusisha kutazamana macho na siasa za uchaguzi Tz kipindi hiki cha kampeni ndio upuuzi wenyewe.
Mnajikutaga wereevu, kumbe mandezi tu, hamjifunzi mlundikano wa watu sio kura. Subiri iyo October
[emoji1787], ati philosophical mind yangu ni below intellectuality. Bavicha bhana.Philosophical mind yako ni below intellectuality ya kuelewa andiko la Mshana Jr!