Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Njoo home kwangu weekend hii umuoneMsaada wa picha tafadhali!sijawahi kuona mtoto aliyebemendwa/
Kumbemenda mtoto inaitwaje kibaiolojia? inasababishwa na nini kikubwa? na muathirika anaweza kupata tiba hospital?
Epuka majibu ya hisia na mizaha....nawasilisha

Kubemenda mtt nijuavyo mm ni pale mama unapokua unanyonyesha,ukawa na mahusiano na mwanaume tofauti na mmeo au baba mtt,hiyo hupelekea mtt afya yke kutetereka,kama amefikia kutembea utasubiri sana,mtt ataishia kukaa tu,hapigi hatua yoyote zaidi ya afya kudhoofu!huko ndio kumbemenda mtt!

Sawa, kwhy mama anaenyonyesha anaweza akaendelea kukutana na mumewe bila kipingamiz chochote! na mtoto asiathirike?
babu umezungumza vyema sana,Sawia kabisa. Imajin umelipa jibaba utamu, likawa linanyonya hoteli ya mwanao, linakushika na mikono yake michafu kwenye nyonyo.... afu waenda mnyonyesha mwanao unategemea atakuwa anakula nini huyo baby?
mama akinyonyesha anaweza kukutana na mmeSawa, kwhy mama anaenyonyesha anaweza akaendelea kukutana na mumewe bila kipingamiz chochote! na mtoto asiathirike?