Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Wanawake mnatubakaga ila tu hatusemagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ticha Mnazareth
Soma hiyo! Utoe mawazo yako halafu mimi nita hitimisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Asante kwa maelezo[emoji23][emoji23][emoji23].Wanawake mnatubakaga ila tu hatusemagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubakwa kiuhalisia ni kitendo cha mtu kufanya mapenzi bila ridhaa yake.Kwa msingi huo mwanaume ama Wanawake wote wanaweza Kubakwa ila changamoto linapokuja suala la ushahidi ni ngumu mwanaume kuthibitisha ubakwaji wake..
Hvyo basi naweza kusema sheria ya nchi yetu imempa nafasi ya upekee mwanamke kwakuwa ndiye awezaye kuthibitisha amebakwa na sheria kufuata mkondo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mpunguze kutubaka maana nguvu ya kuwakatalia hatuna.Asante kwa maelezo[emoji23][emoji23][emoji23].
Naona msimamo wako ni ule ule.
Inabidi serekali itambue na nyie huwa mnabakwa sheria iwekwe[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ila nguvu ya kutupiga tukifanya makosa mnayo
Mie mkono wa kumpiga mtu sijabarikiwa nao kabisaIla nguvu ya kutupiga tukifanya makosa mnayo
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hebu nielewesheni mwenzenu, ni kivipi mwanaume atasisimka kimapenzi bila ridhaa yake? Bila kutamani au kuamua akilini mwake kutenda kitendo hicho? Kivipi kitendo kitafanikiwa bila viungo vya jinsia kuwa tayari?Wakuu habari za wikiendi?
Kwanin imejengeka ktk akili ya kila mwanajamii kuwa Mwanamke ndiye ANAYEBAKWA? na Mwanaume ndiye ANAYEBAKA??
Tujiulize hakuna Mwanamke anayebaka? au Hakuna Mwanaume Anayebakwa?
Tunaelewa vizuri kuhusu KUBAKA na KUBAKWA?
Binafsi ninavyofahamu dhana hizi ni kuwa KUBAKA ni kitendo cha kumuingilia kingono "opposite sex" kwako bila ridhaa au makubaliano yake na wewe unayetenda kitendo hicho.
Na KUBAKWA ni kitendo cha kuingiliwa kingono na "opposite sex" kwako bila ridhaa yako na yeye anayetenda kitendo hicho.
Sasa tujiulize kama dhana ni hiyo ni kweli wanawake ndio WABAKWAJI tu? wao sio WABAKAJI? au mwanaume ndio WABAKAJI tu wao sio WABAKWAJI?
Vilevile tujiulize kwa jinsia zote humu ndani wakuu, JE KWA DHANA HII UMEBAKA AU KUBAKWA MARA NGAPI??
NB:
Zingatia neno Ridhaa ya kingono.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manzi akinibaka mimiWanawake mnatubakaga ila tu hatusemagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]