Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Uzuri wa jamiiforums kila mtu ni mchambuzi na atakuja na conspiracy theories nyingi tu. Ramli chonganishi, na dhana nyingi nyingi ili aonekane ana utaalamu.kitu kizuri zaidi no matter what somebody writes there are followers.na sisi wasomaji tupo pia.tu ki enjoy burudani za humu ndani.
Acha watu waongee mjomba ni freedom of speech na katikati ya haya unayo dharau kuna ukweli upo mahali

Unavyoletaga mastori yako ya mapenzi kwamba wewe ndie mtaalamu maana yake ni wewe ndiye unayejua kutomba tu wengine hatujui sio ?
 
"Waliomteka ni wazungu wageni"

Kwa mujibu wa RC sasa tupunguze kuhoji wameshajulikana
 
MAKONDA anasema "...ninashirikiana na jeshi la polisi na vyombo vingine vya ulinzi n usalama..."

Huyu jamaa ni mzima kwel? Yeye ni mamlak gani na anauwezo upi kiuchunguz hadi ku-team up na jeshi? Yeye kajitofautisha na polisi na hao wengne inamana
[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]self proclaimed unbeatable spy with all mighty powers
 
Moderator huu ni uchambuzi wa viashiria mbalimbali na uhalisia wa tukio baada ya Mo kutekwa hivyo naomba msiunganishe huu uzi na zile nyingine zinazoripoti

Habari huanza kama tetesi ama uvumi hilo limekwisha fanyika
Baada ya tetesi ama uvumi kuthibitika ni kweli habari husika hukoma kuwa tetesi ama uvumi.

Kinachofuata baada ya hapo ni breaking news hapa kila mtu huongea lake la masikitiko la majonzi la huruma nknk....tuko kwenye hatua hii kwa sasa

Vumbi likishatulia ndio uchambuzi huanza..na sasa ni muda wa uchambuzi na sio tetesi wala breaking news tena!

MO KATEKWA! ndio habari kubwa kwa asubuhi hii ya tarehe 11.October.2018
Kila tuko linalotokea huwa na mlolongo huu
Wazo
Sababu
Mchoro/mpango
Muda
Wahusika
Vitendea kazi
Bajeti
Uchaguzi wa eneo la tukio
Nani afanye nini nknk

Matukio ya utekaji huambatana na
Visasi
Fidia
Vita ya kibiashara
Mambo ya kisiasa
Mapenzi na mahusiano...nknk

Kutekwa si jambo geni masikioni mwetu ,wengi walishatekwa ....wachache wkapatikana wakiwa hai na wengine wafu....wengine hawakupatikana tena.

Kwanini MO?
Huyu si mtu mdogo ni mfanyabiashara mkubwa mwenye mafanikio mengi...amewahi kuingia kwenye kumi bora na ishirini bora za matajiri vijana duniani, Afrika na hata katika mgawanyo wa kikanda... Kumteka huyu maandalizi yake si ya kitoto
Wiki moja Kabla nilimuona akifanya mahojiano na mwandishi mmoja ..sikumbuki ni kituo gani cha luninga ...lakini katika mahojiano yale alitaja mafanikio yake mengi na pia kuelezea ratiba yake ya siku nzima na wiki pia
Kwa maneno yake mwenyewe hii ndio ratiba yake

Anafika ofisini saa 12 asubuhi na kuanza kusoma na kujibu emails mpaka saa mbili asubuhi
Baada ya hapo hujipanga kuingia kwenye vikao vya bodi mbalimbali kuhusiana na makampuni yake.

Akimaliza kwenye saa sita nadhani hupata wasaa wa kupitia magazeti mbalimbi,kupumzika na ikifika saa nane HUENDA GYM kupata lunch na baadae kurudi ofsini mpaka usiku...weekend hukutana na marafiki na hupata muda wa kuwa na familia pia.

Leo alfajiri katekwa akienda/akitoka gym! Ni wazi kwenye yale mahojiano alidanganya kuwa anaendaga gym mchana...hii haina shida ni mbinu shirikishi ya kujilinda

Je, watekaji wanataka nini kwake?

Ni wazi hawana nia ya kumdhuru la sivyo wangeshamaliza mchezo pale pale walipomtekea.

Kwa jicho la haraka hawa wanataka fidia (ransom )na kama hili likithibitika basi tutakuwa tumeingia kwenye zama mpya mbaya sana kiuchumi na swala zima la uwekezaji....

Je kwasasa yuko wapi?
Its a million dollar question...lakini watekaji ni watu waliojiandaa hasa...eneo walilomtekea lina ulinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi yenye vifaa vya uhakika lakini pia kuna CCTV CAMERAS...hivyo basi walijua wanachokifanya na hata kuruhusu waonekane kama ni wazungu ni cover up nyingine...siku hizi kuna vinyago vya kila aina.

Kiinteligensia Dar ni padogo sana na eneo letu la bahari liko huru mno...ni rahisi mno kutega speed boat ufukweni maeneo ya Coco na kuondoka na mtu salama salimini...

Neno la Makonda
Kwa kawaida baada ya mtu kutekwa watu husubiri masaa24 kusikia watekaji watasema nini...kipindi hiki cha mpito mamlaka husika hukaa kimya kabisa zikifuatilia kwa Karibu kila taarifa...sanasana zitatoa tu taarifa kuthibitisha tetesi...huwa hazikurupuki kupayuka!

Ndugu yetu huyu kwa nafasi yake ya mkuu wa mkoa kasema WALE WAZUNGU NI WAGENI!
Kajuaje kama ni wazungu kweli
Kajuaje kama ni wageni!?
Ana taarifa zao?
Wamekamatwa?
Kwa kupayuka huku mtu anaweza kuharibu kila kitu ama kugeuka na kuwa chanzo cha habari na kuacha mashaka mengi.....

Mpaka sasa kinachosemwa ni Mo katekwa na majambazi...lakini bado hatuna hakika kwa asilimia zote ninini hasa kimetokea....wakati tukiendelea na huu mjadala tuwe makini na kauli zetu,tusije tukajikuta ni sehemu ya ushahidi..

Tumuombee...tuiombee familia yake ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha sintofahamu kubwa
Mkuu we tuongeage mambo ya ulozi tu haya tuwaachie akina Gentamycine
 
Kama alirithi kampuni ya baba yake vipi kuhusu ndugu zake? Hakuna mtu anayeutaka ukurugenzi??
 
Kaka una umri gani? Kama una umri kidogo ungejua kuwa Mzee Reginald Mengi anao ulinzi tangu kipindi alipofukuzwa na gari liliokuwa na watu "wabaya". Kufuatia tukio hilo aliyekuwa RPC Tryphone Maji na Katibu Mkuu Silvano Adel Lando (r.i.p) waliwajibishwa
Tena wale wanaomlinda hadi dereva ni wale "jamaa" kama sikosei
 
Bado nabaki na dhana ya ransom...hata kilingeni nimechungulia kunasema hivyo...ingekuwa ishu ya kurithiana wangeshamaliza mchezo tangu jana alfajiri.....
Hakuna kitu kigumu kama kumficha aliye hai kama huna faida naye
Je labda kama anataka kutumia njia isiyo halali ili arithi cheo?? Tunapaswa kujifikirisha kwa kina pia.
 
Mimi najiuliza tu huyu Makonda huwa anapata je taarifa za haraka za watekaji?

Kipindi cha Roma, aliahidi siku mbili atapatikana na ikawa hivyo. Leo hili la Mo, keshawajua watekaji.

Kama Makonda si mhusika, basi anaujua mtandao wa wahalifu hawa.
Huyu anaweza kuisaidia sana polisi kwa kuanzia.
Evidence act....! anyways I am little bit confused when thinking where are we heading....?
 
Ni kweli kabisa watekaji wana nia nyingine tofaut na kumdhuru, yaani inavyosemekana kumimina risas juu ingekuwa kudhuru wangemiminia moja kwa moja na wakatokomea kama walivyotokomea nae, some time hii nchi ina mauza mauza mpaka wengine tunashindwa kuamini kama hili jambo ni la kweli ama sinema.
 
Back
Top Bottom