Dhamira yangu Kisiasa Ndani ya Chama Changu CHADEMA!

Dhamira yangu Kisiasa Ndani ya Chama Changu CHADEMA!

Mwenye ushauri akinipatia basi atakuwa kafanya jambo jema mno!
 
Hapo namba tatu, sipo, nguvu kazi inahitajika sana , chama cha siasa ni watu , zipo nafasi nyingi za kuongeza nguvu kamanda .
 
Mwenye ushauri akinipatia basi atakuwa kafanya jambo jema mno!
Nakuelewa vizuri sana, unachoongea ni kikubwa kiasi kwamba napata wasiwasi kama magamba watakupata vizuri.
kwakifupi kama chama kitashka madaraka na kutumia nguvu nyingi kuwekeza katika ustawi wa wananchi yake basi uzalendo utajijenga wenyewe, na hivyo watu hawatapoteza nguvu nyingi sana kupingana na serikali yao watatumia muda mwingi kuchapa kazi na kuinua uchumi, tatizo la tawala zetu hizi tulizo nazo saswamegeuza utawala ni sehemu ya kutunisha matumbo, na wakihisi utawatoa wana tafuta mbinu ya kukufutilia mbali
 
Hapo namba tatu, sipo, nguvu kazi inahitajika sana , chama cha siasa ni watu , zipo nafasi nyingi za kuongeza nguvu kamanda .
Mkuu kwa taarifa nilizonazo ni kwamba CHADEMA ina mkakati mathubut wa kufundisha siasa na kuongeza uwezo wa viongozi wake waliopo na wanaotarajiwa kuwa viongozi ndani ya chama na nchi kwa ujumla.Zoezi hilo lilishaanza na inasemekana linaendelea kwa ufanisi mkubwa isivyokawaida.Taarifa zinasema vijana wana ari kubwa ya kujifunza na ni wepesi kuelewa.Utafiti unaonesha chadema ina vijaja wengi sana kwa sasa wenye weledi na uwezo wa kuwa viongozi. BAVICHA nayo inaonekana inaratibu kwa karibu na umakini mno maandalizi ya rasilimali watu hii. Hili ni jambo la kutia matumaini kwa kweli .Mwisho wa yote sisi ni wamoja. Taifa letu ni moja.CHADEMA ni moja, Lengo la chama ni moja ;Kuitoa nchi hapa ilipo na kuipeleka hatua kadhaa mbele. Natumai tutaweza kwa nia zetu safi na ushirikiano wetu.
 
Ni maeneo gani umeamua kuyafanyia kazi maana kama ni utafiti zipo tafiti za aina nyingi sana tafadhali be specific tuweze kukushauri.
 
kamanda pamoja sn na 2nashukuru kwa mpango wako mzr kwa maslah ya taifa hata cc wana ccm tutakusapoti kwa kila htaji kwa maslahi ya tz
 
Ni maeneo gani umeamua kuyafanyia kazi maana kama ni utafiti zipo tafiti za aina nyingi sana tafadhali be specific tuweze kukushauri.
Baadhi ya mambo si sahihi sana kuyasema humu kwa sababu maalum. Hata hivyo miongoni mwa maeneo ambayo nina mpango wa kuyafanyia kazi kwa umakini; ni pamoja na kutafiti kwamba ni njia gani nzuri ambayo CHADEMA wanaweza kuzitambua na kuzidhibiti hujuma wanazofanyiwa (hila kwa mfano kushambuliwa!) na ikawa na ufanisi mkubwa na gharama ndogo, Ni mbinu gani wanaweza kutumia kuhakikisha hawaibiwi kura, ni mbinu gani inaweza kusaidia wananchi kuzidi kuipenda chadema, mbinu gani inaweza kusaidia wanachadema na hasa viongozi wakawa more productive, ni kivipi chadema kama chama kinaweza kuimarisha mifumo yake kuwa ya kidigitali zaidi, ni kivipi CHADEMA wakishika madaraka wanaweza kuwafanya watanzania wakawa na kiwango cha juu cha furaha, Ni kivipi chadema wakishika dola wanaweza kuweka mazingira ambayo yataifanya tanzania iwe sehemu salama , N.k. Kimsingi yako maeneo mengi sana mkuu na hata wewe na mwengine na mwengine mnaweza kuchangia. Ni hivyo hivyo kidogo kidogo; za kwangu kidogo tukichanganya na zako kidogo na za mwengine kidogo basi tunakwenda.
 
kamanda pamoja sn kwa mpango wako mzr kwa maslah ya taifa hata cc wana ccm tupo tyr kukusapoti kwa maslah ya taifa.
 
As usual you utter a right thing at the right moment.....your ideas will be treasured dude and together we will make impossibles to be possible!!
 
Mwenye ushauri akinipatia basi atakuwa kafanya jambo jema mno!
Mkuu na mimi nipo kuichangia Chadema kwa taaluma yangu na uzoefu wangu kwenye kufanikisha sera zao na kuwasaidia angalau hata kwa kuwakosoa. Hususani hapo watakopolewa madaraka na kwenda kinyume na matarajio ya wananchi.

Wana faida moja kubwa; kuna kiwango duni cha kisiasa kilichowekwa na CCM; pia kuna kiwango duni cha utendaji wa serikali inayoongozwa na CCM hatuwatarajii washuke au wawe sawa na kiwango hicho.

Wajue kuwa sisi wengiine tutawalinganisha kwa mbadala wa klisiasa za kidemokrasia na utendaji makini ambao wametuaminisha tofauti na kukatishwa tamaa na CCM.

Hadi sasa wamejitosheleza kwa umakini.

I am a proud M&E global consultant in the Communications and Transport Sectors. Right now I am on a project with The World Bank in Africa.
 
Mkuu na mimi nipo kuichangia Chadema kwa taaluma yangu na uzoefu wangu kwenye kufanikisha sera zao na kuwasaidia angalau hata kwa kuwakosoa. Hususani hapo watakopolewa madaraka na kwenda kinyume na matarajio ya wananchi.

Wana faida moja kubwa; kuna kiwango duni cha kisiasa kilichowekwa na CCM; pia kuna kiwango duni cha utendaji wa serikali inayoongozwa na CCM hatuwatarajii washuke au wawe sawa na kiwango hicho.

Wajue kuwa sisi wengiine tutawalinganisha kwa mbadala wa klisiasa za kidemokrasia na utendaji makini ambao wametuaminisha tofauti na kukatishwa tamaa na CCM.

Hadi sasa wamejitoshelza kwa umakini.
Yeah! uko sawa sana mkuu. Ujue watanzania wana matarajio makubwa sana na CHADEMA kuliko vile mtu anavyoweza kudhani kwa haraka haraka. Hivyo ni jukumu la wanachadema kuhakikisha kuwa wananchi wanaona na wanapata kile wanachokitaraji kwa kuwango cha ubora cha juu kabisa. Kulifanikisha hilo kwa ufanisi; ni lazma vijana kwa wazee, wanawake kwa waume tusirikiane kikamilifu, tujitume mchanana kutwa, tujielimishe tuwezavyo, tujifikirishe hadi mwisho wa uwezo wetu, tujitoe kwa hali na mali na tutii dhamira zetu kiukweli. Tukijitahidi mungu naye atatuwezesha na nchi hii itafika mahali itakuwa ya kupigiwa mfano kwenye eneo hili la Africa.
 
As usual you utter a right thing at the right moment.....your ideas will be treasured dude and together we will make impossibles to be possible!!
Mkuu pamoja sana. Nchi hii ni yetu mimi na wewe. Tujitahidi tuwezavyo tufanye jambo. Ujue nchi kama china imeweza kutoboa baada ya kuwa na mtizamo sahihi katika siasa za kiuchumi kwa mfano; na kisha kila raia kwa wasaa wake akaamua kuutumia uwezo na vipaji vyake kwa kiwango cha juu kabisa, leo hii dunia inaimba jina la China!
 
Mkuu Feedback mbona sasa hujashauri kitu kama ulivyoahidi! ushauri wako muhimu na unasubiriwa huku kwa hamu.
 
Last edited by a moderator:
Mwenye ushauri akinipatia basi atakuwa kafanya jambo jema mno!

Mshafanya tafiti kujua ni wanachama wangapi wataichagua cdm au na wewe unakurupuka tu bila tafiti yoyote et cdm watachukua nchi....
 
Yeah! uko sawa sana mkuu. Ujue watanzania wana matarajio makubwa sana na CHADEMA kuliko vile mtu anavyoweza kudhani kwa haraka haraka. Hivyo ni jukumu la wanachadema kuhakikisha kuwa wananchi wanaona na wanapata kile wanachokitaraji kwa kuwango cha ubora cha juu kabisa. Kulifanikisha hilo kwa ufanisi; ni lazma vijana kwa wazee, wanawake kwa waume tusirikiane kikamilifu, tujitume mchanana kutwa, tujielimishe tuwezavyo, tujifikirishe hadi mwisho wa uwezo wetu, tujitoe kwa hali na mali na tutii dhamira zetu kiukweli. Tukijitahidi mungu naye atatuwezesha na nchi hii itafika mahali itakuwa ya kupigiwa mfano kwenye eneo hili la Africa.

Mwanzo nilikuwa na matarajio makubwa sana, Ila kwa sasa naona hata cdm nao ni wale wale wachumia tumbo tu. Sioni tofauti ya ccm na cdm kiutekelezaji. Hapo cdm tu demokrasia haipo afu wanazuga watafanya demokrasia Tz wapi weweeee..... Wizi mtupu...
 
Upande mwingine ni kuwaweka viongozi wasiwe au wasipende kujiona Mungu Watu ili wawe karibu na wananchi wao.Pili ni kuona kwa jinzi gani wananchi wenyewe wanaweza kujiletea maendelea kwa kuwasaidia either kuandika michnaganuo au kuwaweka kwenye vikundi na serikali ikawasaidi.Mfano wafigaji na wakulima wanatumia gharama kubwa ili kuwekeza kwenye mifugo au mazo lakini wananyonywa sana na wafanya biashara sababu muda wote kuna huyu mtu wa kati ambaye anapata faida kubwa wakati mfugaji au mkulima anaishia kupata hasara au kuambulia kidogo sana.Kama utaweza kufanya utafiti ni namna gani ya kusaidia Chadema kwenye hili unaweza hata ukawasaidi wabunge na madiwani wa Chadema ili wawafikie wananchi wengi zaidi kabla hata ya uchaguzi wa 2015.
 
Umeandika vizuri na kujitetea pamoja na kutetea chama chako ngoja nitarejea mkuu betlehem
 
Last edited by a moderator:
Huna kazi ya kufanya wewe...

Mtu mwenye kazi ya kufanya hawezi kuwekeza maisha yake kwenye siasa magumashi za Chadema. Huna tofauti na kijana Ben Saanane aliyewadiasppoint wazazi wake waliomsomesha kwa gharama kubwa...
 
Back
Top Bottom