Dhamira yangu Kisiasa Ndani ya Chama Changu CHADEMA!

Dhamira yangu Kisiasa Ndani ya Chama Changu CHADEMA!

Ni mabishano yenye kujenga na sio ninyi CCM mnaobishana kwa lengo la kupotosha. Mmeshindwa kushawishi watanzania sasa mnaamua kuwapotosha. It like " If u can't convince them, then confuse them" Ndipo mlipofikia sasa CCM. Kamwe hamtaweza kupingana na nguvu ya mabadiliko. Ref. Satta wa Zambia
Vijana wa CCM kwa mara ya mwisho walipewa kazi ya kuhakikisha kuwa kila mjadala unapojitokeza; wao kazi yao itakuwa ni kuuvuruga kwa kadiri watakavyoweza .Sijui jukumu watakalo pewa baada ya hapa litakuwa ni lipi.Ngoja tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom