Dhambi za wanasiasa.....

Musundi

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,583
2,600
Mungu aturehemu na madhambi yetu. Lakini wenzetu wanasiasa dhambi zitakazowachoma ni 2 hasa: UONGO na USHIRIKINA.

Unamkuta mwanasiasa anasema uongo mkubwa kabisa hadharani, kana kwamba anaowaambia uongo huo ni watoto wadogo. Alitoa ahadi huko nyuma, leo anakuja kuongea kinyume kabisa na alichosema jana/juzi.

Nawachukia sana wanasiasa wa aina hii maana wanatudharau wapigakura wao!!!!
 
Back
Top Bottom