Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,962
- 312
Kuna Waziri wa kike....alishasema wachaga waiache Arusha yao...tena bungeni!
Kabla ya kumlaumu mwandishi huyu kwa habari ya ukweli....mfuate huyo mama sijui ni Mary Nagu muulize anawagawa watanzania (wachaga v waarusha) au anawaunganisha....then uje na hoja mpya hapa jukwaani...
Naomba utupe walau mambo matatu muhimu yaliyoongelewa au hawakuzungumzia jambo lolote????
Kwa kawaida msema kweli huitwa "an enemy of the people".