Dhambi ya uwongo ndio kaburi la CHADEMA

Dhambi ya uwongo ndio kaburi la CHADEMA

Ktk magazeti hapa Tz ukichelewa kuamka mpaka saa nne haukuti kopi hata moja kwa wauza magazeti ni DAIMA 2weni wakweli haswa kesho.Ayo mengine hayauziki.

Labda Kilimanjaro na Arusha. Lakini maeneo mengine yanauzwa kwa kilo kesho yake.
 
Inaelekea wewe hujui technology inavyofanya kazi, hivi picha za kivita unazozionaga unadhani zote ni za kweli? Hebu tumia sehemu ndogo ya ubongo wako kufikiri kwa upana. Nikuulize, katika nchi inayotawala kwa misingi ya demokrasia na utawala bora kama Tanzania, hujui Mh. Rais pekee ndio mwenye mamlaka ya kutangaza vita na mtu yeyote akifanya hivyo ni kosa la jinai na anastahili kuburuzwa mbele ye sheria?
Je Polisi wameenda likizo ili usema Ole Medeye katumia hiyo nafasi ya kutangaza vita? Huo ni uzushi kama ule wa jana katika jamii forum na leo katika gazeti la udaku la Mtanzania Daima.

Kwanza Mtanzania halisi hawezi kuwa hivyo mnavyofikiri kwa maana hiyo gezeti lenu mngeeliita MChadema News.
 
Mkutano wa kimila haujaanza leo au kipindi kihi cha uchaguzi bali ni mwendelezo wa mikutano ya kimila ambayo Ole Medeye na malaigwanani wenzake wamekuwa wakihudhuria na siku ukimuona Mh. Lowassa akiingia huko, najua hutachelewa kusema anasaka urais isipokuwa nikuambie Ndugu yangu na mtanzania mwenzangu kwamba Lowassa ni kiongozi wa Mila za Kimasai Africa Mashariki.

Wamasai wana taratibu za kuishi na hiyo imesaidiwa sana na mila na desturi zinazotenganisha rika kwa rika ili kujenga heshima katika jamii na kwa kuwa wewe huelewi na hujui kwamba huelewi na ukieleweshwa hutaki kuelewa basi akili yako inakimbilia uchaguzi ambao hata hivyo maamuzi yake yako kwa watanzania hasa wapiga kura wa kata husika.

Sijui ni bangi na viroba vinawaongoza sielewi. Hekima ni hulka ya mtu na si shuruti hvyo usisubiri somo la hekima darasani maana utapitwa na wakati.

mimi ni masai,Mikiidim atoning' morwak loreuta engohoke..hawa wazee wameingizwa ktk maslahi na wachumia tumbo kama kina Medeye.kamwe waarusha hauwezi kututenga na wachaga kisa maslahi ya Lowassa na Mpuuzi Medeye aliyeshindwa jimbo..pelekeni hicho kikao Monduli.ERAGAITA MORWAK VIKIGELAKI NDAI.Hicho kikao kilikuwa cha wachumia Mbege wa Kimasai kama wewe.WAMASAI TUACHWE TUCHAGUE WENYEWE.
 
Mzee mmoja wa kimasai amewahi kuniambia. Historia inavyobadilika ndivyo hivyo akili za binadamu nazo zinavyobadilika na kwa kipindi cha sasa, usishangae mtu akaongelea jambo ambalo halijui wala hajalishuhudia na hiyo ni hatari sana.

Kwa uwezo wa Mungu makanjanja hawa wa Chadema wamenidhihirishia lakini mbaya zaidi wanawapakazia wazee wa mila za kimasai bila kujua wale ni wapiga kura tu na si wanasiasa. Nasema Ole wake mtu yule anayewapakazia malaigwani maana siku wakinyoosha zile rungu zao kuelekeza kokote waatakapoamua kwa umoja wao kwa muda wanaotaka wao yatimie wakisema maneno wayajuayo wao kuashiria kuchukizwa na uwongo wanopakaziwa hakika mtu au watu hao wanaweza kujihisi wamelogwa kumbe NO ! Isipokuwa laana amabayo hata ufanyeje, utaacha somo kwa wengine.

Kama unaweza kushabikia udaku, ningekueleza agenda ya mkutano si ungejenga hoja nyingine ya kupotosha?
 
Nenda shule kwanza ili ujue kupanga maneno wakati mwingine utakapoandika ----- wako. Inawezekana hata mikutano ya rika lako huendagi ili ujue maamuzi yanatolewa na mkutano na si mtu mmoja kama unavyodhani Medeye ndio wa kuwaamulia malaigwanani.
Kwa taarifa yako mila hii ya kimasai huijui na kama unataka kuijua basi usubiri ujulishwe na si kujikweza kwamba unajua. eeta engigwana oreti loongai ololorika lenye loota en golon kake miyeo ngayoni
 
Povu linakutoka Ovyo bro,MEGEKAKI YOOK RVAYANI LAITURUKO TENA KATAK.Mnakuwa wasemaji wetu wamasai wa kizazi hiki Mtatuweza? Kama umekunywa DEBE la Medeye na Lowassa kuja kutugawa Kikabila Imekula kwako..MEBAYE ILO SHANI M'BENEK
 
Nenda shule kwanza ili ujue kupanga maneno wakati mwingine utakapoandika ----- wako. Inawezekana hata mikutano ya rika lako huendagi ili ujue maamuzi yanatolewa na mkutano na si mtu mmoja kama unavyodhani Medeye ndio wa kuwaamulia malaigwanani.
Kwa taarifa yako mila hii ya kimasai huijui na kama unataka kuijua basi usubiri ujulishwe na si kujikweza kwamba unajua. eeta engigwana oreti loongai ololorika lenye loota en golon kake miyeo ngayoni

Shule nliyonayo hata Mungu wako Lowassa hana.Mtawashikia chini masai wa monduli na Oldonyosambu but sio sie wa Arusha mjini.
 
madaraka yanatafutwa kwa hila na chadema kutwa kusingizia watu wapuuzi sana hawa mashetani
 
Nashangaa sana watu, wanasema damu mlimwaga arusha itawagarimu, mimi si mwanachadema ila iwe cdm au ccm kila mtu aliyehusika kupanga anajijua mwenyewe na kila tone la damu itawasumbuwa mpaka kizazi chako, watu wengine wanaandika damu damu, kumbe yeye ndio muhusika tusubiri mungu yupo, hata usipokamatwa mungu atakuwajibisha kwa kumwaga damu za watu,wasio na hatia, na asilimia 95 ninaamin ni cdm ndio walifanya, damu zitawafuata mpaka watoto wenu,

una akili timamu ?
 
Mzee mmoja wa kimasai amewahi kuniambia. Historia inavyobadilika ndivyo hivyo akili za binadamu nazo zinavyobadilika na kwa kipindi cha sasa, usishangae mtu akaongelea jambo ambalo halijui wala hajalishuhudia na hiyo ni hatari sana.

Kwa uwezo wa Mungu makanjanja hawa wa Chadema wamenidhihirishia lakini mbaya zaidi wanawapakazia wazee wa mila za kimasai bila kujua wale ni wapiga kura tu na si wanasiasa. Nasema Ole wake mtu yule anayewapakazia malaigwani maana siku wakinyoosha zile rungu zao kuelekeza kokote waatakapoamua kwa umoja wao kwa muda wanaotaka wao yatimie wakisema maneno wayajuayo wao kuashiria kuchukizwa na uwongo wanopakaziwa hakika mtu au watu hao wanaweza kujihisi wamelogwa kumbe NO ! Isipokuwa laana amabayo hata ufanyeje, utaacha somo kwa wengine.

Kama unaweza kushabikia udaku, ningekueleza agenda ya mkutano si ungejenga hoja nyingine ya kupotosha?
ACHAA UPUUZII HII VIDEO NAYOO NI UDAKUUUU?!!! Ole Medeye; atangaza vita na wachaga asema watapigana kwa silaha zote kuwagoa Arusha - YouTube
 
madaraka yanatafutwa kwa hila na chadema kutwa kusingizia watu wapuuzi sana hawa mashetani
UNGEKUWA UMEIONA HII VIDEO NA KUELEWA KILICHOMO USINGEKUWA NA NGUVU YA KUANDIKA ULICHOANDIKAA... ANGALII HIII VIDEO KWANZA URUDII HAPA KUCOMENTS.. HUYU WAZIRI ALIHUDHURIA KWENYE KIKAO HIKI NA ALIKAA HIGH TABLE .. CLICK LINK ILI UANGALIE VIDEO Ole Medeye; atangaza vita na wachaga asema watapigana kwa silaha zote kuwagoa Arusha - YouTube " HUYU MWENYE LUBEGA NYEKUNDU ANASEMA KWAMBA HAIWEZEKANI TENA TUKAONGOZWA NA WACHAGA NDANI YA JIJI LETU LA ARUSHA NA HATA SIKU MOJA MEYA WA MJI WOWOTE NI LAZIMA AWE NI MZAWA NA WATAHAKIKISHA TUNA WEKA MTU TUNAYEMTAKA SISI.
HATUTAKI TENA MAMBO YA UONGOZI WA KICHAGA KUANZIA UONGOZI KIJIJI KATA NA HATA MKOA TOFAUTI.
TANGU LINI UONGOZI WA MEYA AKAPEWA MTU WA KUJA?????
JINA LA KIMANDOLU, NGARENARO LEO UKIMWULIZA HUYU MBUNGE ANAJUA MAANA YAKE???
HATUKUBALI TENA KUONGOZWA NA MAKABILA TOFAUTI KABISA.
HUYU MBUNGE HATUMTAKI NA NDANI YA SIKU 25 NA WAPATE MAJIBU YA KWAMBA ATATOKA AMA HATOKI."

MKUTANO MWINGINE UTAITISHWA ITAKAYOTOA MAAMUZI NA KAMA HAWEZI KUONDOAKA TUTAMUONDOA NA NA WACHAGA WENZA WAENDE MOSHI.."
HATUOGOPI VITA TUTAPIGA MPAKA TUHAKIKISHE TUNA BAKI ARUSHA KAMA WALIVYO PIGANIA BABU ZETU NA WALIBAKI ARUSHA
 
Shule nliyonayo hata Mungu wako Lowassa hana.Mtawashikia chini masai wa monduli na Oldonyosambu but sio sie wa Arusha mjini.

Okeeiiiiiiiiiiiiiiiiii !!! Kumbe shule unayo lakini elimu yako yote imeshindwa kukusaidia ujue kwamba Lowassa hawezi kuwa Mungu wangu? Umewahi kusikia Lowassa kaumba mbingu na nchi? Bangi uvute wewe, viroba unywe wewe ati zikupelekeshe. Si uache kama vinakusumbua? Tuliza wenge na utumie elimu kama kweli unayo ndugu!
 
Back
Top Bottom