Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,513
- 283,980
Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukionya watu kujiepusha na ccm kwa sababu tunafahamu kitakachowakuta .Hahahahahaa Ukiingia Dili na CCM Kaaa ukijua watakugeuka tu....
Na walio upinzani kwa kusaliti CCM hiyo laana yako haiwawahusu!! Au kama kawaida ya kuangalia vitu kwa miwani ya mahaba.Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukionya watu kujiepusha na ccm kwa sababu tunafahamu kitakachowakuta .
Kumbe dokta mihogo alikuwa anamwonea bure mzee wa watu...ripoti zote lowasa hajachomoza, dah kumbe dingi Wa watu ni safi.
Hahahaha safiii..??? Muulize Tundu Lissu kwanza aliyeandika LIST OF SHAME akishakupa jibu uje hapa utapike tukusikie..msijifanye kusahau mambo wajameni au tuwakumbushe na clip zao kina Mnyika., Lema., Msigwa..muone walizungumza nini...msitufanye sisi majuha wajameniripoti zote lowasa hajachomoza, dah kumbe dingi Wa watu ni safi.
CCJWakijiepusha na ccm waende chama gani..?? Mbona hili swali huwa hampendi kulijibu..wajinga kweli..tupe chama mbadala tuone kama unaweza tamka hapa hadharani...shwain
i am not saying you are mentally retardedWakijiepusha na ccm waende chama gani..?? Mbona hili swali huwa hampendi kulijibu..wajinga kweli..tupe chama mbadala tuone kama unaweza tamka hapa hadharani...shwain
Hiv unawezaje kuendesha serikali kwa katiba iliyopo bila chama...hebu tupe style na version uliyonayo..usijifanye huelewi mfumo wetu..zungumza na fact ili wengine tuelewe..huenda una mawazo mapana zaidi..lets go..i am not saying you are mentally retarded
i am saying you are suffering from paralysis of analysis
wewe solution ya matatizo yetu unaiweka kwenye vyama tu!!!!
Hhahaha mnaona aibu hata kutamka mavyama yenu...ngumu kumeza eeh...tamkeni tuanze kuwashambulia..watanzania wa leo sio wale wa juzi...
kwa hiyo tuswitch mjadala uende kwenye katiba sasa..let's goHiv unawezaje kuendesha serikali kwa katiba iliyopo bila chama...hebu tupe style na version uliyonayo..usijifanye huelewi mfumo wetu..zungumza na fact ili wengine tuelewe..huenda una mawazo mapana zaidi..lets go..
Sijui wewe solution utaiweka wapi..bungeni au..!!hata bungeni kuna chama tawala na upinzani...na tangu lini upinzani ukatoa solution ya matatizo bila kuongoza dola..we jamaa unatupoteza huelewi unachosemai am not saying you are mentally retarded
i am saying you are suffering from paralysis of analysis
wewe solution ya matatizo yetu unaiweka kwenye vyama tu!!!!
Tusizungumzie vitu ambavyo haviko hai..haitatusaidia...waste of timekwa hiyo tuswitch mjadala uende kwenye katiba sasa..let's go
labda niambie waarabu walipoziondoa serikali zao dhalimu(arab spring) walikuwa wanaongozwa na chama ganiSijui wewe solution utaiweka wapi..bungeni au..!!hata bungeni kuna chama tawala na upinzani...na tangu lini upinzani ukatoa solution ya matatizo bila kuongoza dola..we jamaa unatupoteza huelewi unachosema