Dhambi ya usaliti inanitafuna

Dhambi ya usaliti inanitafuna

Kusahau ni ngumu sana, na kama umempenda mtu kwa moyo wote na uaminifu halafu anachepuka na kuzaa kabisa mtoto inauma sana yeye avumilie tu matusi hakuna namna
Amelitaka mwenyewe. Apambane nalo tu. Huwez mtendea mtu ubaya ukatarajia mazuri
 
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.

Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. nimechoka kujishusha kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa

Nawasilisha
Miaka mitatu? mbona michache?? Hata ingekuwa wewe ndo umechapiwa halafu ukaletewa na mtoto wa mwanaume mwingine usingeweza kusahau kirahisi tena within 3 years. Jaribu kujiweka kwenye viatu vya huyo mke wako, then you can feel the pain.
We kwanza umshukuru tu mpaka Leo Yuko na wewe! Jifunze!.
 
Umeona eee, mtu upo naye anaenda zaa huko , kusema ukweli hizo ni dharau kubwa kupita kiwango cha lami
 
Heshima yenu wanajamvi!
Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.

Tatizo ni miaka mitatu sasa mwanamke bado analiongea as if limetokea jana kila siku tunagombana kosa nlilofanya 3yrs back. nimechoka kujishusha kwa wazoefu tafadhali naombeni njia mbadala ya kuepuka kutukanwa

Nawasilisha
Kwa mfano ingekuwa ni make wako kuchepuka na ukajua fika uyo mtoto wa mwanaume mwenzio na mtoto unamuona ungeendelea kuishi naye kwa amani au ungeshamfukuza kabisa??? Vaa viatu vya mwenzio usikilizie
 
sasa amu huo ndio ushauri gani? yeye kaomba ushauriii sio kusutwa 🙂🙂 kaazi kweli kweli
 
Umetongoza, umefanya nje mpaka kuzaa (with all family planning methods? u cant even pull out?) dude inauma maumivu yake ni balaa ukifanya kosa unatonesha kidonda.
Vumilia tu maana kukubali kuendelea kuishi na wewe kaonesha ukomavu wa hali ya juu.
Na imagine ingekuwa mwanamke ndo amezaa nje km angesamehewa
 
.........kuu,nikajishusha saana kwa wife akakubali kunisamehe sikupenda tuachane kwasababu alikuwa na mtoto mdogo wa miezi kadhaa.
JE, KWA SASA UWEZI PIA KUMWACHA? MAANA MTOTO NI MKUBWA, IWAPO UNAONA KERO KWAKO.
 
Kumuacha fikra hazjaja..... Ila anatukana sana asee nafeel mnyonge mda wote
 
Na usifikirie kabisa kumuacha, akianza kutukana mwambie hayaishi tu Mungu asingekuwa anatusamehe
tungekuwepo mpaka sasa tena kwa upole usiwe mnyonge changamoto hizo
 
Umeona eee, mtu upo naye anaenda zaa huko , kusema ukweli hizo ni dharau kubwa kupita kiwango cha lami
Anazingua, kuchepuka mpaka unaamua kuzaa kabisa hizo n dharau za hali ya juuu...ina maana anamwamini sana mchepuko had wanaenda bila kinga na ana mke ndani. This is madness

Kwanza kuchepuka tu ameboa...kwanza huyo mke wake ana moyo sana
 
Back
Top Bottom