Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Naamin angekuwa ameshamfukuza. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!Kwa mfano ingekuwa ni make wako kuchepuka na ukajua fika uyo mtoto wa mwanaume mwenzio na mtoto unamuona ungeendelea kuishi naye kwa amani au ungeshamfukuza kabisa??? Vaa viatu vya mwenzio usikilizie