paul nsangu
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 179
- 32
Kama ni hilo tu basi vuta subira kwani huyu ni mbunge wa taifa. Sote tunamtegemea yeye kuwasilisha vilio vyetu kwa serikali
Mbunge anajenga minara? Akili nyingine!
Mbunge anajenga minara? Akili nyingine!
Mbunge anajenga minara??? wapigie watu wa minara , au wapigie akina vodacom watawaletea watu wa minara
halafu anapuliza moshi juu inaandika "HOWDY"Texas tom, mtaalam wakuwasha sigara na bastola
Hata kama ma DC wapo na wenye mitandao wapo, i5 mbunge ni wajb wake kuwasemea wananchi na kuwashawishi wenye mitandao kuwa kuna watumiaji wa cm wakutosha ili washawishke kujenga. Mbunge alione hili
wanajf,
Naomba tafadhari leo ni mjulisheni mh. Filikunjombe dhambi yake huko jimboni kwake kama atakuwa amesahau basi namwomba aje na majibu haya kwa wananchi wa tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa, yaani vijji vya Makonde,Lifuma,Nsisi na Lupinga.
Dhambi yako kubwa pamoja na kukubalika kwako ni umewasahau kabisa wakisi kule ziwa Nyasa yaani kimawasiliano wako nyuma wakisi hawawezi hata kidogo kuwasiliana kwa njia ya simu tangu mawasiliano haya yaanze hapa Tz. Sasa mh. hivi una furahi sana unapoona Wakisi toka Makonde na Lifuma wapande milima ya Mambuhesa kilomita takriban 75 kwenda kijiji cha Mawengi kupiga simu?
Hivi wewe unaona ni vizuri hvo,kumbuka wewe una heshima kubwa sana hapa tz kutokana na umahiri wako pale bungeni sasa kwanini usiwajengee mnara wa mawasiliano pale Makonde? wakisi nao wakawa na mawasiliano.
Tafadhari naomba majibu yako juu ya hili kwani mwaka 2015 sio mbali kabisa utakuwa na wakati mgumu sana kule kwani Wakisi sio watu wa kuwapuuza hivi hawakawii kubadilika wale nami nitaungana nao katika kuijenga CHADEMA kule kuanzia sasa.
Mh. naomba majibu kuna mkakati wa kujenga mnara wa simu za mkononi ktk eneo hilo la mwambao?
nsangupaul@gmail.com
naomba kuwasilisha wakuu
Deo Filikunjombe
May 7 via mobile
Serikali Kujenga Minara ya Simu Ludewa
Dodoma: Serikali imesema itaanza ujenzi wa minara ya simu katika maeneo ya Wilaya ya Ludewa yasiyofikiwa na huduma za mawasiliano ya simu kwa mwaka huu wa fedha 2013/14.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga wakati akijibu swali la Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM).
Katika swali lake, Filikunjombe alitaka kujua mpango wa Serikali kujenga minara ya simu eneo la mwambao wa Ziwa Nyasa na Milimani. Filikunjombe alisema wananchi wanalazimika kupanda juu ya miti kupata mawasiliano.
Waziri Kitwanga alisema ujenzi wa minara hiyo utagharimiwa kupitia fedha za Benki ya Dunia (WB), zabuni ya kwanza itatangazwa Mei mwaka huu.
Alivitaja vijiji ambavyo havina mawasiliano kuwa ni Chanjale, Lumbila, Nkanda, vijiji vya Kata ya Madilu, Lupingu, Ntumbati, Nindi, vijiji vya Kata za Kilondo, Makonde na Madope.
"Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCAF) inaendelea na jitihada zake kuhakikisha maeneo yote nchini hususan vijijini yanapata huduma za mawasiliano ya simu," alisema Kitwanga.
Naibu waziri huyo alisema lengo ni kuhakikisha maeneo yasiyofikiwa na watoa huduma yanafikiwa kwa kutumia mbinu mbalimbali, ikiwamo ruzuku inayotolewa na UCAF kushawishi kampuni za simu kupeleka mawasiliano maeneo hayo.
- View previous comments
Saturnino Marandu Safi sana
May 8 at 2:17pm · Like
Petro Mhagama Japo kuwa mi ni wa mkongobaki, Nakubaliana na mh.ili kuwepo mnara Madope, kwa barabara ya njombe lugarawa mpaka ludewa Madope ndo tunakosa net kwa muda mrefu.
May 8 at 2:17pm via mobile · Like
Moses Mwinuka all the best kaka,thats what we want ,2015 tunakurudisha tena mjengoni mpaka mambo yawe sawa .
May 8 at 8:25pm · Like · 1
- Dada Michapo Elede njavo! Malufuku ukhufwala amangalac ka mbavu. Apo wiva udalikhe njavu! . Lino be mswamu vetu wiyangalile. Enge amadin kakhu mchuchuma nilikanga ndokhutika twilinda amalwanda kakhu china? Au ndyo kati ya mikataba22 ya chuchi nakakene nempelye avachin
May 8 at 10:03pm · Like
Dada Michapo Une ilihocho lyangu, ndapono pala be mswamu vetu, mngapicndikha utwana twetu khusoma kwamkatac khuchina, nekhe twifunje ukhwikimila ilikanga nishuma, nukhwiteng'enesehecha ivinu yuwe, ila amamwangalachi katane ukhupata akhampenyo khakhutuhchila ishuma.
May 8 at 10:08pm · Like
Privatus Lipili They promise to do everything yet they fulfil nothing! They are building no ward schools anymore?
May 9 at 10:33am · Like
- Mgimba Felician endelea na uchapakazi huohuo, kwani wana Ludewa tupo nyuma yako. udalikhe twihongecha swee!
May 9 at 2:42pm · Like
Kanon Mtewa felicitation.Keep fire burning Filikunjombe.
May 9 at 4:26pm · Like
Faustin John Mlelwa Deogratias Haule Filikunjombe, mimi ni padre, nafanya kazi Amerika ya kusini, ni mzawa wa Mavanga-Ludewa. Nafuatilia kwa karibu sana vipindi vya bunge. Nazipenda sana hoja zako. Kaza uzi tufike pazuri Ludewa. Naipenda Tanzania, naipenda Ludewa.
May 9 at 5:56pm · Like · 2