Dhambi ya Deo Filikunjombi (mb) Ludewa

Dhambi ya Deo Filikunjombi (mb) Ludewa

Kwa kuweka msisitizo zaidi ni kuwa, Filikunjombe alitoa ahadi ya kujenga minara katika kata tatu za Wilaya ya Ludewa. Moja inaitwa Madope, nyingine Lupingu na nyingine ni Makonde. Ni kweli kuwa huko hakukuwa na mawasiliano ya simu (hasa kata hizo mbili za Ziwani. Nafikiri Filikunjombe amekuwa na ushawishi mkubwa kiasi cha kuwezesha makampuni ya simu kukubali kujenga minara maeneo hayo.
Halafu kule Ludewa yule jamaa anakubalika sehemu kubwa sana, hata kama akisimama bila chama, sidhani kama atapata shida kujiuza
 
Kaulize wizara ya mawasiliano wanafanya kazi gani,mbunge ni kufatilia wizara na amefanya hivyo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wanajf,

Naomba tafadhari leo ni mjulisheni mh. Filikunjombe dhambi yake huko jimboni kwake kama atakuwa amesahau basi namwomba aje na majibu haya kwa wananchi wa tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa, yaani vijji vya Makonde,Lifuma,Nsisi na Lupinga.

Dhambi yako kubwa pamoja na kukubalika kwako ni umewasahau kabisa wakisi kule ziwa Nyasa yaani kimawasiliano wako nyuma wakisi hawawezi hata kidogo kuwasiliana kwa njia ya simu tangu mawasiliano haya yaanze hapa Tz. Sasa mh. hivi una furahi sana unapoona Wakisi toka Makonde na Lifuma wapande milima ya Mambuhesa kilomita takriban 75 kwenda kijiji cha Mawengi kupiga simu?

Nilitegemea umuhimize aikumbushe serikali kuweka sawa miundombinu ya barabara kwanza simu baadaye...kuna samaki na dagaa nyasa huko mnavua je mnajua bei tunayonunulia DSM...? Ni masikitiko na sidhani kama ndugu zangu wanapata faida kama wanavyopata wafanya biashara wachache huko..!!

Hivi wewe unaona ni vizuri hvo,kumbuka wewe una heshima kubwa sana hapa tz kutokana na umahiri wako pale bungeni sasa kwanini usiwajengee mnara wa mawasiliano pale Makonde? wakisi nao wakawa na mawasiliano.

Tafadhari naomba majibu yako juu ya hili kwani mwaka 2015 sio mbali kabisa utakuwa na wakati mgumu sana kule kwani Wakisi sio watu wa kuwapuuza hivi hawakawii kubadilika wale nami nitaungana nao katika kuijenga CHADEMA kule kuanzia sasa.

Mh. naomba majibu kuna mkakati wa kujenga mnara wa simu za mkononi ktk eneo hilo la mwambao?

nsangupaul@gmail.com
naomba kuwasilisha wakuu

Mbunge kazi yake ni kuikumbusha serikali na kiwajibisha kwenye majukumu yake katika hilo labda awashauri TTCL ambao wako chini ya serikali waje waweke mitambo.....lakini makampuni binafsi yanangalia faida na uwepo wa wateja swala siyo wakisi na wamanda brother...perhaps you have another massage you want to convey to mheshimiwa....!!

Kumbukeni Ludewa na maeneo karibu yote kando ya ziwa nyasa yalikuwa nyuma sana kimaendeleo but the coming of Philikunjombe na Capt. John walau tumeamka kwa kiasi fulani ukilinganisha na waliopita...so vuta subira...!!
 
mbunge kazi yake nikuharakisha maendeleo jimboni kwake......namshauri mbunge wangu deo ajiunge na jeshi la ukombozi kwa dhamira ya dhati ya maendeleo
 
wanajf,

Naomba tafadhari leo ni mjulisheni mh. Filikunjombe dhambi yake huko jimboni kwake kama atakuwa amesahau basi namwomba aje na majibu haya kwa wananchi wa tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa, yaani vijji vya Makonde,Lifuma,Nsisi na Lupinga.

Dhambi yako kubwa pamoja na kukubalika kwako ni umewasahau kabisa wakisi kule ziwa Nyasa yaani kimawasiliano wako nyuma wakisi hawawezi hata kidogo kuwasiliana kwa njia ya simu tangu mawasiliano haya yaanze hapa Tz. Sasa mh. hivi una furahi sana unapoona Wakisi toka Makonde na Lifuma wapande milima ya Mambuhesa kilomita takriban 75 kwenda kijiji cha Mawengi kupiga simu?

Hivi wewe unaona ni vizuri hvo,kumbuka wewe una heshima kubwa sana hapa tz kutokana na umahiri wako pale bungeni sasa kwanini usiwajengee mnara wa mawasiliano pale Makonde? wakisi nao wakawa na mawasiliano.

Tafadhari naomba majibu yako juu ya hili kwani mwaka 2015 sio mbali kabisa utakuwa na wakati mgumu sana kule kwani Wakisi sio watu wa kuwapuuza hivi hawakawii kubadilika wale nami nitaungana nao katika kuijenga CHADEMA kule kuanzia sasa.

Mh. naomba majibu kuna mkakati wa kujenga mnara wa simu za mkononi ktk eneo hilo la mwambao?

nsangupaul@gmail.com
naomba kuwasilisha wakuu
Minara iliyojengwa kisiasa ipo michache sana hapa TZ.. kwa mfano Lupaso kwa che Nkapa, kuna minara mitatu imejengwa na Airtel ambayo hata wao inawapa shida kuihudumia kuna Mgambo na mingine...
 
wanajf,

Naomba tafadhari leo ni mjulisheni mh. Filikunjombe dhambi yake huko jimboni kwake kama atakuwa amesahau basi namwomba aje na majibu haya kwa wananchi wa tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa, yaani vijji vya Makonde,Lifuma,Nsisi na Lupinga.

Dhambi yako kubwa pamoja na kukubalika kwako ni umewasahau kabisa wakisi kule ziwa Nyasa yaani kimawasiliano wako nyuma wakisi hawawezi hata kidogo kuwasiliana kwa njia ya simu tangu mawasiliano haya yaanze hapa Tz. Sasa mh. hivi una furahi sana unapoona Wakisi toka Makonde na Lifuma wapande milima ya Mambuhesa kilomita takriban 75 kwenda kijiji cha Mawengi kupiga simu?

Hivi wewe unaona ni vizuri hvo,kumbuka wewe una heshima kubwa sana hapa tz kutokana na umahiri wako pale bungeni sasa kwanini usiwajengee mnara wa mawasiliano pale Makonde? wakisi nao wakawa na mawasiliano.

Tafadhari naomba majibu yako juu ya hili kwani mwaka 2015 sio mbali kabisa utakuwa na wakati mgumu sana kule kwani Wakisi sio watu wa kuwapuuza hivi hawakawii kubadilika wale nami nitaungana nao katika kuijenga CHADEMA kule kuanzia sasa.

Mh. naomba majibu kuna mkakati wa kujenga mnara wa simu za mkononi ktk eneo hilo la mwambao?

nsangupaul@gmail.com
naomba kuwasilisha wakuu

paul, maendeleo hayaji kwa kulalamika JF nenda nyumbani kwako ludewa ukashiriki ktk kuiendeleza wilaya yako ya ludewa. and, it's a pity kwamba wewe humwelewi deo filikunjombe. sisi huku ludewa tunamwelewa deo na tumemwelewa. deo filikunjombe ni jembe letu na tunamkubali.
 
mkuu nenda ludewa kawaambie mbunge haleti maendeleo peke yake anashirikiana na wananchi pamoja na wewe , we umefanya nini mpaka sasa hivi au unataka tu kumlalamikia mbunge
 
Hivi Ludewa si ina Mkurugenzi,DC, Afisa Maendeleo ya jamii, n.k,kwa nini Mbunge awe mwarobaini wa kila kitu?
Mbunge ndiyo mtetezi wa wanyonge.Na ndiyo waliomchagua awatetee hao wengine wameteuliwa.
 
Asa mbunge Wako unamtafuta jamvini? Km unamtandao WA internet inakuaje unakosa WA simu, au unaandika mada ukiwa kwa Obama
 
Back
Top Bottom