Dhambi saba mbaya zaidi

Ila uchoyo naona ndio mwisho wa reli...inabeba mengine yote
 
Nimerud kusoma yote nimekuelewa mkuu

Nilipitia partially, title ni dhambi kuu, contents ni mizizi ya dhambi

That's great [emoji122]
[emoji106] [emoji109] [emoji817] [emoji781] [emoji779] [emoji779] [emoji781]
 
Hahahaha hai apply kwa chosen ones!
 
Ni nani kati ya dhambi hizo zote hana hata moja?

Napenda hela lakini sio mvivu kuitafuta hata kama ni kidogo. Mtihani huja pale nionapo napata kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…