Dhambi ni mbaya sana! Ufaransa imevuna ilichopanda

Dhambi ni mbaya sana! Ufaransa imevuna ilichopanda

Afu mwalimu nyerere alikuwa mkorofi yule cjui yukoje.Hana akili aliko uko.
 
coexistisis-vi.jpg
 
Wana jamvi kila utendalo hapa duniani huwa linalipwa kwa kadri ulivyotenda,rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy alipewa $ milioni 50 na hayati Gaddafi ili zimsaidie ktk kampeni zake,na walikuwa marafiki wakubwa, na Gaddafi alijua siri nyingi sana kuhusu rais Sarkozy,lakini ajabu ni huyo huyo rais aliyeongoza kihelehele cha NATO kuivamia Libya,Ufaransa chini ya Sarkozy ndo iliongoza mashambulizi ya anga dhidi ya Libya na kisha rais mnafiki yule akatuma majajusi waliojichanganya na waasi na kisha kumuua Gaddafi kwa kumpiga risasi ya kichwa,leo hii ufaransa wanalia kilio cha mbwa,wananchi wasio na hatia wamekufa kwa dhambi ambayo hawajaitenda,mataifa ya magharibi hususan Marekani,Uingereza,na Ufaransa yenyewe wamekuwa wakitengeneza silaha na kisha kuziuza kwa mataifa maskini huku wakichochea ugomvi,Marekani na kampuni lake kubwa la Martin Lockheed ndo inaongoza kufanya unyama huo,hebu ingia hapa www.who killed gaddafi?.com ndo utajua kuwa wazungu si ndugu zetu sisi watu weusi,na africa kwa ujumla.

Last edited by a moderator:
Wana jamvi kila utendalo hapa duniani huwa linalipwa kwa kadri ulivyotenda,rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy alipewa $ milioni i50 na hayati Gaddafi ili zimsaidie ktk kampeni zake,na walikuwa marafiki wakubwa, na Gaddafi alijua siri nyingi sana kuhusu rais Sarkozy,lakini ajabu ni huyo huyo rais aliyeongoza kihelehele cha NATO kuivamia Libya,Ufaransa chini ya Sarkozy ndo iliongoza mashambulizi ya anga dhidi ya Libya na kisha rais mnafiki yule akatuma majajusi waliojichanganya na waasi na kisha kumuua Gaddafi kwa kumpiga risasi ya kichwa,leo hii ufaransa wanalia kilio cha mbwa,wananchi wasio na hatia wamekufa kwa dhambi ambayo hawajaitenda,mataifa ya magharibi hususan Marekani,Uingereza,na Ufaransa yenyewe wamekuwa wakitengeneza silaha na kisha kuziuza kwa mataifa maskini huku wakichochea ugomvi,Marekani na kampuni lake kubwa la Martin Lockheed ndo inaongoza kufanya unyama huo,hebu ingia hapa www.who killed gaddafi?.com ndo utajua kuwa wazungu si ndugu zetu sisi watu weusi,na africa kwa ujumla.
Gaddafi alipata alichostahili maana ndiyo alikubali kuandaa mauaji ya Laurent Kabila na wamarekani
 
Wana jamvi kila utendalo hapa duniani huwa linalipwa kwa kadri ulivyotenda,rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy alipewa $ milioni 50 na hayati Gaddafi ili zimsaidie ktk kampeni zake,na walikuwa marafiki wakubwa, na Gaddafi alijua siri nyingi sana kuhusu rais Sarkozy,lakini ajabu ni huyo huyo rais aliyeongoza kihelehele cha NATO kuivamia Libya,Ufaransa chini ya Sarkozy ndo iliongoza mashambulizi ya anga dhidi ya Libya na kisha rais mnafiki yule akatuma majajusi waliojichanganya na waasi na kisha kumuua Gaddafi kwa kumpiga risasi ya kichwa,leo hii ufaransa wanalia kilio cha mbwa,wananchi wasio na hatia wamekufa kwa dhambi ambayo hawajaitenda,mataifa ya magharibi hususan Marekani,Uingereza,na Ufaransa yenyewe wamekuwa wakitengeneza silaha na kisha kuziuza kwa mataifa maskini huku wakichochea ugomvi,Marekani na kampuni lake kubwa la Martin Lockheed ndo inaongoza kufanya unyama huo,hebu ingia hapa www.who killed gaddafi?.com ndo utajua kuwa wazungu si ndugu zetu sisi watu weusi,na africa kwa ujumla.

You are dumb and pathetic Muhammadan.
 
Magaidi wanapaswa kufa no matter who they are. Huwezi kutafuta excuse yoyote kutetea magaidi. Magaidi ndiyo adui wa dunia nzima wala si wazungu. Gadaffi was never good for us as well . Ccm ni adui wa kwanza wa tanzania na hakuna rafiki wa watu wote duniani kama vile wewe usivyokuwa rafiki wa kila mtu. LAKINI UGAIDI HAUPASWI KUTETEWA. NI JANGA LA DUNIA. NIGEFUAHI KAMA UNGETAFUTA SABABU NYINGINE YA KUWASHITAKI WAZUNGU LAKINI USIJARIBU KUTETEA UGAIDI.

WAKIUZA SILAHA WEWE KWA NINI UNANUNUA KAMA HUZITAKI?

WAKIKUAMBIA MPIGE YULE, WEWE KWA NINI UMPIGE WAKATI UNAKICHWA HA KUREASON JEMA NA BAY? kWA NINI UUE NDUGU YAKO ETI KWA KUWA MTU KAKUAMBIA?

WANACHOCHEA MIGOGORO GANI? WAACHE CCM WAIBE KURA NA KUWAONEA WATANZANIA WALIO WENGI KWA KUNYONGA DEMOKRASIA NA KUVURUGA KTIBA YA NCHI? WAKISEMA CCM ACHA UHUNI MSEME WAMECHOCHIEA MIGOGORO? KINAFIKA KIPINDI CCM WAPIGWE TU KWA UPUMBVU NA UHUNI WANAOUFANYA KWA WANANCHI. MFANO CCM INAUA WATU WASIOKUWA NA HASARA WALA HAWANA SILAHA, WAKIHANGAIKA KUAPATA SILAHA ZA KUJILILNDA MUANZZE KULAUMU ANAYETENGENEZA ZILE SILAHA ETI KWA SABBU KAWAUIUA WATANZANIA WAJILINDE DHIDI YA UNYAMA WA CCM. MBONA HAMKUWALAUMU PALE WANAPOWUZIA SILAHA AMBAZO CCM WANAZITUMIA KUWAUA RAIA?

NAOMBA MSIWE NA MITAZAMO YA KUWAHUKUMU WATU KWA MISINGI INAYOASISIWA NA MATAKWA YALIYOFICHIKA NA CHUKI BINAFISI. HAKUNA MTU MWOVU KAMA MWARABU.
NDIYE ANAFANYA DUNIA IWE SHAMBA LA WANYAPORI KWA SABABU YA UJUHA WA WATU WAKE KUTOKUTUMIA AKILI. NA HII NI KWA SABBU ZAIDI YA 50% YAO NI INBRED. KWENYE JAMII YA INBRED PEOPLE HUTEGEMEI KICHWA CHA KUTUMI AKILI.

ACHENI KUWALAUMU WAZUNGU KWA UPUMBAVU WA WATU WENGINE.
 
Tunatumia europe kama njia ya kutetea ugaidi,ukweli ni kwamba asili ya waarabu ni kuua hovyo,kuna waarabu kibao wanaokolewa na wazungu baarini,vipi ingekuwa wazungu ndo wanakimbia vita ulaya je wangepokelewa na waarabu... waarabu walishafundishwa kuua kwenye msahafu hiyo ni kawaida yao...
 
Hivi Korea iliwahi kupambana na ugaidi?maana niliona kwenye you tube wakimchinja mkorea huku wakifurahia
 
Back
Top Bottom