Dhambi isiyokuwa na msamaha (unforgiven sin)

Kumkufuru Roho mtakatifu ni ile hali ya kuwa umetembea na Roho mtakatifu na akakufunulia matendo yake kwa uhakika alf baadae ukaja kukengeuka na kuanza kukashifu kana kwamba hawezi kufanya vile ambavyo ulikuwa ama una hakika anaweza, Hii hasa ni kwa watu ambao wamepiga hatua kubwa kiroho unlike watu wachanga kweny mambo ya ki-Mungu
 
Hii ni kwale ambao Roho mtakatifu amejidhihirisha kwao
na akapata kuwafunulia siri ya Matendo ya Mungu ambayo yanaonekana katika ulimwengu wa Roho . Sasa badae wakaja wakakengeuka wakaacha imani na wakawa watenda uovu
Sawa nimekupata
 
km mshahara wa dhambi ni Mauti mtoto mwenye umri wa siku mbili ANAPOKUFA huwa ana dhambi Gani?

Haya maandiko mengine ni kupotosha watu tu.
 
Sio kweli kaka Roho mtakatifu na Mungu baba ni tofauti sana ndo sababu kuwa na utatu Mungu ni mtakatifu ila sio roho mtakatifu
 

Nipe tofauti ya kusema mungu hawezi na roho mtakatifu hawezi

Ujibu vyema sana pia
 

Ni kweli kama nikukata tamaa hakuna atakae pona hadi kufikia leo watu wengi wanajiua pia nakuunga mkono kusema kukufuru roho mtakatifu ni zaid ya kukata tamaa
 
Kuna roho mtakatifu na roho takatifu kwa maelezo yako hata Yesu alishukiwa na roho mtakf sio roho takatifu
 
Dhambi isiyo na msahama ni moja tu - KUUA.
 
Dhambi isiyo na msahama ni moja tu - KUUA.
Siyo kweli mkuu kuna watu walikuwa wauaji lkn walisamehewa mfano Musa alimuua mmisri lkn alisamehewa, Daudi na Uria lkn alisamehewa, Paulo akiwa anaitwa Sauli aliwaua wengi sana na wengine wengi lkn wote walisamehewa

Dhambi ya kumkufuru Roho pekee ndiyo haisamehewi maana unakuwa umekataa kabisa kuisikia sauti ya Mungu lkn pia umekataa uweza wake na hivyo anakuacha moja kwa moja na mtu wa namna hii kwake haoni kitu kuwa ni dhambi au kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…