Dhamana(security) kwa ajili ya mkopo

Dhamana(security) kwa ajili ya mkopo

MoPlan

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
907
Reaction score
661
Kama wewe ni mfanyabiashara na unahtaji kuboresha biashara yako kupitia mkopo(loan) lakin huna dhamana ya mkopo(security).Nitafute nikuwezeshe kupata Title kwa ajili ya mkopo,ushaur pia utatolewa kuhusu benki ipi ya kuchukua mkopo yenye riba nafuu.
Nipigie 0755-300942 au 0714099916
 
Kama upo Dsm na unahtaji naomba unipigie au unisms kuhusu chaji 2taongea.
 
Kama wewe ni mfanyabiashara na unahtaji kuboresha biashara yako kupitia mkopo(loan) lakin huna dhamana ya mkopo(security).Nitafute nikuwezeshe kupata Title kwa ajili ya mkopo,ushaur pia utatolewa kuhusu benki ipi ya kuchukua mkopo yenye riba nafuu.
Nipigie 0755-300942 au 0714099916

Title ya kitu gani. Fafanua
 
punguza upuuzi,uliza ufafanuliwe kama mzito kuelewa kuliko kubwabwaja tu kama chemba mbovu,nothing offensive!!!!!

mkono mtupu haulambwi kamanda!

nafikiri we ni mbulula tu,kilaza mkubwa kabisa kutoka nigeria,unafungua id nyingi ili utuibie,kafie mbali!
 
Kwa staili hii hatutaendelea hata siku moja,hujaelewa,hujaomba kueleweshwa,una skip moja kwa moja kwenye kashfa,unaweza mwita mwenzio mburula watu wote wakakuangalia wewe kwa kuskia tu hilo jina, Tubadilike,tuwe tunahoji kwanza kabla hatujaamua kushutumu.
 
Mkubwa weka ufafanuzi na taratiBu zako wazi,atakaevutiwa atakupigia
 
Kwa staili hii hatutaendelea hata siku moja,hujaelewa,hujaomba kueleweshwa,una skip moja kwa moja kwenye kashfa,unaweza mwita mwenzio mburula watu wote wakakuangalia wewe kwa kuskia tu hilo jina, Tubadilike,tuwe tunahoji kwanza kabla hatujaamua kushutumu.

mkuu bora umwambie wewe kwani mi huwa inanishangaza kwa sababu keyboard sio toy mtoto abofye bofye tu,mtu unalog in jf lakini busara na hata normal IQ anakosa ya kuthink na kureason kitu,anaishia kutitirisha kaishia,serukamba bungeni we!!!!
 
Kwa staili hii hatutaendelea hata siku moja,hujaelewa,hujaomba kueleweshwa,una skip moja kwa moja kwenye kashfa,unaweza mwita mwenzio mburula watu wote wakakuangalia wewe kwa kuskia tu hilo jina, Tubadilike,tuwe tunahoji kwanza kabla hatujaamua kushutumu.

Kabla ya kumjibu hivyo yeye alinijibu hivi hapa chini. Moto kwa moto siku hizi!

punguza upuuzi,uliza ufafanuliwe kama mzito kuelewa kuliko kubwabwaja tu kama chemba mbovu,nothing offensive!!!!!
 
Wa-Naigeria wameingia Tanzania!

Nilikujibu uache upuuzi kutokana na kashifa zako za kipuuzi.

Muanzisha thread namfahamu na sio tapeli kama na maandishi yako ya kipuuzi, ni mtaalamu wa mambo ya biashara na amesoma Azania na IFM na Amekua akifanya consultationna uandaaji wa docs za biashara na kibenki zaidi ya mwaka na unusu so majibu yako ya hovyo hovyo kwa kitu na mtu usiemjua pasipokuuliza ilihali hujaelewa ni upuuzi mtupu!!!
 
Back
Top Bottom