Mkuu
Blaine maelezo yako ni mazuri sana na yanaibua mjadala though sio kesi za murder peke yake ambazo hazina dhamana hata armed robbery na uhujumu uchumi na uhaini nazo hazina dhamana
Kesi za murder kwa kweli nyingi zinachukua muda sana na upelelezi wake nao unachukua muda sana may be kutokana na polisi wetu kutokuwa na vifaa au na utendaji wao wa kazi nao unachangia.
huoni kama kuboreshwa kazi ndio jambo sahihi kuliko kumsweka mtu indefinetly?
Kumwachia mtuhumiwa wa mauaji kwa dhamana bado serikali ina wasi wasi na reaction ya wananchi au ndugu wa aliyeuwawa na ndo maana wana wasi wasi kuwa akiachiliwa na huu ulimwengu wa visasi ndugu wa aliyeuwawa bado wanaweza kulipiza kisasi kwa maana ile kumuona mtaani hata kama hafanyi kazi kwa ndugu wa aliyeuwawa bado ni issue.
nadhani tunahitaji poll kujua public opinion kuhusu dhamana. innocent till proven guilty lakini. nchi zingine mbona hakuna 'visasi vya ndugu', tuache sheria ichukue mkondo wake. pia mtuhumiwa atakuwa na staha na 'kutowachokoa' ndugu wa wafiwa.
Pia kesi za mauaji inatakiwa upepelezi wake uhakikishe kuwa hauachi doubt yoyote maana file litakapopelewa kwa DPP bila ushahidi wa kutosha DPP ana mamlaka lya kuiondoa kesi hikyo mahakamani na ndo maana wanahitaji kukusanya kila aina ya ushahidi ili kumsaidia DPP na judge aliyepangiwa kesi hiyo kuweza kufikia maamuzi sahihi na pia kuhakikisha kuwa wanawapata mashahidi muhimu na wale walioona lile tukio moja kwa moja na sio wale wa hear say ili kuweza kuthibitisha kosa la mtuhumiwa.
hii process takes 'too long'. kama kuna 'foul play' itaonekana kwenye vipimo vya daktari na upelelezi mwingine, sio lazima wawepo mashahidi walioona tukio.