Dhaifu+=DHAIfu cheki picha hii

Dhaifu+=DHAIfu cheki picha hii

Kwani wewe ni baba mwanaasha hadi tukuite dhaifu!au wewe ni Pinda!
 
mawazo+stress+shida kubwa+shida ndogondogo+family problems+bei kupanda+ukame+kunyang'anywa ardhi+...=temporary insanity
 
Mi nakuita tu dhaifu wala siogopi adhabu ya kumwagiwa maji maana nina uhakika kuwa hiyo ndoo haitajaa hata upewe miaka milioni kumi...
 
Back
Top Bottom