Dhahabu

Habari wadau!? Nauliza dhahabu zinauzwa kwenye maduka gani hapa dar es salaam, na bei zake zikoje!!?
Nenda crown jewellers.....wako dar city centre
Grm1 ni 75000 mpk 80000

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom