Dhahabu ina aina nne 100% ni 24karat na 75% ni 18K, 58% ni 14% na 38% ni 9K kwa hiyo hakuna dhahabu nyeusi ila unaweza kuchanganya ili upate dhahabu nyeusi kwa mfano 75% ya dhahabu na 25% ya cobalt unapata dhahabu nyeusi pia unaweza changanya chemical element zingine ukapata Rose, Pink, na hata Red gold