Nahitaji pete mbili za ndoa za gold genuwine quality made by machines. Sio fake please. Ni pm tuongee business
Kambaku, Sihitaji mtu wa kuniuzia pete zake. Nataka mpya. Problem is, tulishawahi kununua kwa sonara akatuuzia malimbovu kachanganya na mibati sijui, so this time we need the real thing. Unaweza kutoa hata wazo kuhusu wapi tunaweza pata vitu vya ukweli.
MamaBeata ungeandika kiswahili tungekuelewa vizuri kuliko hiki ulichokiandika hapo kwenye maandishi mekundu, au ulitaka kusema genuine?Nahitaji pete mbili za ndoa za gold genuwine quality made by machines. Sio fake please. Ni pm tuongee business
Hahahahahahahaha!unataka used za watu walioachana au?