DYLM future billionaire
Member
- Dec 28, 2015
- 70
- 151
Kuna eneo liko Geita lina dhahabu... Pia wapo wachimbaji wadogo wadogo pembezoni mwake...lina dhahabu za kutosha ndo maana mwenye eneo akaamua kutafuta mwekezaji ili likachimbwe kitaalamu..eneo lina kibali zote za uchimbaji zinazohitaji...pia geologists walikuja kupima wakaona wingi wa dhahabu uliopo.kwa hyo wewe kama unamtaji wako..unaijua hii biashara ya dhahabu njoo tupeane utaratibu.