Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 52,978
- 61,180
Kampuni Hii Kazi Zake Ni Ujenzi.
Ila Ukweli Inakwepa Kodi na Kunyanyasa Wazawa Hasa Mtu Ana Miaka Mitano Lakini Kibarua.
Inasemekana hapa Nchini Aliyekuwa Mbunge Wa Songea Zamani (Nchimbi) Ana Ofisi Hapo Pia Anahusika Kuwapa Kiburi Na Wazawa Kunyanyaswa.
Idara Za Serikali Zinahusika Kuwapa Vibali Wageni Ni Uhamiaji, Ukwepaji Kodi TRA Inahusika Idara Ya Kazi Haiwasikilizi Wazawa.
Rais Kupitia Nguvu Uliyonayo Fanya Utaratibu Kampuni Imulikwe
Wazawa Wako Hoi Kwa Vitisho.