Ccm wamepaniki sana baada ya viti kupungua upande wao, mi nadhani huu ujinga na upumbavu unaoendelea kulalamikiwa na wanaccm kuhusiana na viti maalum chadema utakuwa na maana rndapo tu hao walioteuliwa watakuwa maboga bungeni, lakini kwa sasa ni ujinga kukomaa kwamba kuna ubaguzi kwenye viti maalum pasipo hoja za msingi ..nani alisema viti maalum ni zawadi? Ningehamasika kukubaliana na hoja hizi endapo kama kulikuwa na wanawake waliokuwa viti maalum msimu uliopita wakaonyesha uwezo bungeni lakini msimu huu wakaachwa bila sababu..lakini sio hivyo isipokuwa makelele ya wanaume wenye wivu wa ccm ambao wanataka kutuaminisha kwamba hakukuwa na haki katika uteuzi wa chadema..hivi haki ni pale majina ya akina bulembo, kawawa, sitta, mwinyi yanapojirudia kila mwaka kwenye majina ya wabunge wenu? Iacheni chadema ifanye inavyoamini ni sahihi wananchi watahukumu kwa matokeo ya bungeni