Devis Mosha usicheze rafu hii ni Moshi

Devis Mosha usicheze rafu hii ni Moshi

Mangi Mkubwa

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
107
Reaction score
29
Jana majira ya usiku nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu kutoka moshi mimi nikiwa morogoro kiukweli alinileza jambo ambalo kwa upande wangu sikulipenda hata kidogo kuhusu anachofanya Mgombea wa CCM jimbo la Moshi Mjini Devis Mosha.

Mbali na kuliingiza jeshi la polisi katika kashfa lankini ameandaa vijana ambao usiku amewapa magari kwa ajili ya kuzunguka usiku na kubandua mabango yote ya Mgombea ubunge jimbo la Moshi Japhary Michael pamoja na ya madiwani,pamoja na sehemu nyingine kubandika juu ya mabango ya mwenzake.Hii ilipelekea septemba moja majira ya saa 12:00 jioni kutaka kusababisha kutokea mapigano katika ya wafuasi wa Devis ambao walikuwa kazini wakibandua mabango hayo ya chadema eneo la Soweto na kupelekea hadi kushikiana mapanga ambapo baadae kidogo jeshi la polisi lilifika na kukamata baadhi ya vijana lakini wa Devis kupanga kwenye gari lililokuwa na mabango yake na kuelekea kituo chan Polisi.

Devis Mosha ambae anazindua kampeni jumamosi huku akijigamba kuwa twanga pepeta itakuwepo na Kinana amejitahidi sana kubandika mapango makubwa kwneye kila eneo la Mji wa Moshi ambayo nina hakika Halmashauri itakuwa imepata mapato kwa ajili ya kujenga ushaiwishi kwa wapiga kura kitu ambacho ni haki yake.

Sina ugomvi kwa devis kubandika mabango bali ni kwa nini mgombea uchane mabango ya mgombea mwenzako kwa kigezo kwamba ni hujuma ambayo inaweza kukufanya uibuke mshindi je?watanzania au wana moshi wamekosa uwezo wa kufikiri hadi tumpe kura mtu ambaye siyo mkazi amekuja kutafuta ubunge kisha aendelee zake na biashara zake?

Uzuri mtu huyu hajui kuongea hata kidogo mimi nilihudhuria mkutano wa mgombea mwenza wa Urais Samia Suluhu ambao mkutano huo haukufikia hata wa mgombea ubunge wa chadema aliyezindua jumapili eneo la ralway na alipotakiwa kuzungumza sikumsikia kitu cha maana alichozungumza kuhusu Jimbo Langu la moshi.

Hata kama anajigamba kuwa amekuja sijui na fedha embu tusubiri tuone kama fedha inaweza kufanya kila kitu tena katika kipindi hiki ambacho wananchi wanahitaji mabadiliko,na dhambi hii ya kuwaleta watu ambao siyo wakzi wa moshi imekuwa inaendelea kuitafuna CCM mfano Justin Salakana ambaye hata mitaa ya moshi haijui sawa na Devis ambaye nae hata baadhi ya Kata hazijui.

Nimeupenda kweli Wimbo unaotumiwa na Chadema wa Lady jaydee kuwa Yahaya unaishi wapi ikiwa ni swali kwa mgombea DEVIS japo anatka kujiaminisha kuwa kwa fedha alizonazo anaweza kunua wananchi wa Jimbo la Moshi lazima tusimame kupinga udhalilishaji huu wa huyu kijana mbay inadaiwa ni rafiki wa baba rizi1 ambae wameshiriki kwa miaka mingi kupiga dili za unga sasa ndo anataka kuja kuaribu na vijana wetu Moshi.
 
Huyu jamaa ana washauri wabaya sana, na ameweka mabango mengi kuliko hata mgufuri mwenyewe
 
kampeni chafu hazisaidii, pia mm nimeambiwa anagawa pesa kama njugu, ana kundi la vijana wanalipwa kuzunguka na kufanya wanachoambiwa, ila sijui........
nasema waache mara moja ili wajengee heshima .....
 
Wanatakatisha fedha haramu hao... moshi inajua na itawajibu oct 25
 
Le King of All Bongo Social Media Network in Tanzania.

Stay tuned...anakuja. Tehe hahaha
 
Davids Mosha ni msimamizi wa malori ya riz1.Hana uchungu na pesa inavyopatikana ndiyo maana anagawa hovyo.Ila kwa moshi ameumia
 
images
davis mosha bilionea
images
images
images
gari yake ya njano yenye thamani ya bilioni moja.kumbe sio kila mgombea ubunge anaganga njaa. duh!!

Billion 1 unaifaham vizuri ?
Kuna gari la billion hapo ? Acha Balaa.
 
Jana majira ya usiku nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu kutoka moshi mimi nikiwa morogoro kiukweli alinileza jambo ambalo kwa upande wangu sikulipenda hata kidogo kuhusu anachofanya Mgombea wa CCM jimbo la Moshi Mjini Devis Mosha.

Mbali na kuliingiza jeshi la polisi katika kashfa lankini ameandaa vijana ambao usiku amewapa magari kwa ajili ya kuzunguka usiku na kubandua mabango yote ya Mgombea ubunge jimbo la Moshi Japhary Michael pamoja na ya madiwani,pamoja na sehemu nyingine kubandika juu ya mabango ya mwenzake.Hii ilipelekea septemba moja majira ya saa 12:00 jioni kutaka kusababisha kutokea mapigano katika ya wafuasi wa Devis ambao walikuwa kazini wakibandua mabango hayo ya chadema eneo la Soweto na kupelekea hadi kushikiana mapanga ambapo baadae kidogo jeshi la polisi lilifika na kukamata baadhi ya vijana lakini wa Devis kupanga kwenye gari lililokuwa na mabango yake na kuelekea kituo chan Polisi.

Devis Mosha ambae anazindua kampeni jumamosi huku akijigamba kuwa twanga pepeta itakuwepo na Kinana amejitahidi sana kubandika mapango makubwa kwneye kila eneo la Mji wa Moshi ambayo nina hakika Halmashauri itakuwa imepata mapato kwa ajili ya kujenga ushaiwishi kwa wapiga kura kitu ambacho ni haki yake.

Sina ugomvi kwa devis kubandika mabango bali ni kwa nini mgombea uchane mabango ya mgombea mwenzako kwa kigezo kwamba ni hujuma ambayo inaweza kukufanya uibuke mshindi je?watanzania au wana moshi wamekosa uwezo wa kufikiri hadi tumpe kura mtu ambaye siyo mkazi amekuja kutafuta ubunge kisha aendelee zake na biashara zake?

Uzuri mtu huyu hajui kuongea hata kidogo mimi nilihudhuria mkutano wa mgombea mwenza wa Urais Samia Suluhu ambao mkutano huo haukufikia hata wa mgombea ubunge wa chadema aliyezindua jumapili eneo la ralway na alipotakiwa kuzungumza sikumsikia kitu cha maana alichozungumza kuhusu Jimbo Langu la moshi.

Hata kama anajigamba kuwa amekuja sijui na fedha embu tusubiri tuone kama fedha inaweza kufanya kila kitu tena katika kipindi hiki ambacho wananchi wanahitaji mabadiliko,na dhambi hii ya kuwaleta watu ambao siyo wakzi wa moshi imekuwa inaendelea kuitafuna CCM mfano Justin Salakana ambaye hata mitaa ya moshi haijui sawa na Devis ambaye nae hata baadhi ya Kata hazijui.

Nimeupenda kweli Wimbo unaotumiwa na Chadema wa Lady jaydee kuwa Yahaya unaishi wapi ikiwa ni swali kwa mgombea DEVIS japo anatka kujiaminisha kuwa kwa fedha alizonazo anaweza kunua wananchi wa Jimbo la Moshi lazima tusimame kupinga udhalilishaji huu wa huyu kijana mbay inadaiwa ni rafiki wa baba rizi1 ambae wameshiriki kwa miaka mingi kupiga dili za unga sasa ndo anataka kuja kuaribu na vijana wetu Moshi.

Inaonekana Davis anakunyima usingizi km mnajiamini si msubiri sk ya kupiga kura kwani mabango yanabadili msimamo wako??
 
Huyu jamaa ana washauri wabaya sana, na ameweka mabango mengi kuliko hata mgufuri mwenyewe

Mwenyewe kanishangaza na mabango makubwa kila sehemu. Watamulia hela zake na kura asipate
 
Jana majira ya usiku nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu kutoka moshi mimi nikiwa morogoro kiukweli alinileza jambo ambalo kwa upande wangu sikulipenda hata kidogo kuhusu anachofanya Mgombea wa CCM jimbo la Moshi Mjini Devis Mosha.

Mbali na kuliingiza jeshi la polisi katika kashfa lankini ameandaa vijana ambao usiku amewapa magari kwa ajili ya kuzunguka usiku na kubandua mabango yote ya Mgombea ubunge jimbo la Moshi Japhary Michael pamoja na ya madiwani,pamoja na sehemu nyingine kubandika juu ya mabango ya mwenzake.Hii ilipelekea septemba moja majira ya saa 12:00 jioni kutaka kusababisha kutokea mapigano katika ya wafuasi wa Devis ambao walikuwa kazini wakibandua mabango hayo ya chadema eneo la Soweto na kupelekea hadi kushikiana mapanga ambapo baadae kidogo jeshi la polisi lilifika na kukamata baadhi ya vijana lakini wa Devis kupanga kwenye gari lililokuwa na mabango yake na kuelekea kituo chan Polisi.

Devis Mosha ambae anazindua kampeni jumamosi huku akijigamba kuwa twanga pepeta itakuwepo na Kinana amejitahidi sana kubandika mapango makubwa kwneye kila eneo la Mji wa Moshi ambayo nina hakika Halmashauri itakuwa imepata mapato kwa ajili ya kujenga ushaiwishi kwa wapiga kura kitu ambacho ni haki yake.

Sina ugomvi kwa devis kubandika mabango bali ni kwa nini mgombea uchane mabango ya mgombea mwenzako kwa kigezo kwamba ni hujuma ambayo inaweza kukufanya uibuke mshindi je?watanzania au wana moshi wamekosa uwezo wa kufikiri hadi tumpe kura mtu ambaye siyo mkazi amekuja kutafuta ubunge kisha aendelee zake na biashara zake?

Uzuri mtu huyu hajui kuongea hata kidogo mimi nilihudhuria mkutano wa mgombea mwenza wa Urais Samia Suluhu ambao mkutano huo haukufikia hata wa mgombea ubunge wa chadema aliyezindua jumapili eneo la ralway na alipotakiwa kuzungumza sikumsikia kitu cha maana alichozungumza kuhusu Jimbo Langu la moshi.

Hata kama anajigamba kuwa amekuja sijui na fedha embu tusubiri tuone kama fedha inaweza kufanya kila kitu tena katika kipindi hiki ambacho wananchi wanahitaji mabadiliko,na dhambi hii ya kuwaleta watu ambao siyo wakzi wa moshi imekuwa inaendelea kuitafuna CCM mfano Justin Salakana ambaye hata mitaa ya moshi haijui sawa na Devis ambaye nae hata baadhi ya Kata hazijui.

Nimeupenda kweli Wimbo unaotumiwa na Chadema wa Lady jaydee kuwa Yahaya unaishi wapi ikiwa ni swali kwa mgombea DEVIS japo anatka kujiaminisha kuwa kwa fedha alizonazo anaweza kunua wananchi wa Jimbo la Moshi lazima tusimame kupinga udhalilishaji huu wa huyu kijana mbay inadaiwa ni rafiki wa baba rizi1 ambae wameshiriki kwa miaka mingi kupiga dili za unga sasa ndo anataka kuja kuaribu na vijana wetu Moshi.

Wewe uko morogoro unauhakika gani na unalicho ambiwa!!? Siasa za matusi eti yahaya!! Mbona hata kauli zako na ww zinaonesha nawe umetumwa na japhary michael, acha wanamoshi tusikilize hoja zen tuje na maamuzi sahihi, usitupandikizie chuki kwa wagombea kwa siasa zako za maji taka tena za kizamani wenzako wameshaziacha, hata kama devis katoka dar, ila c mtanzania, acha siasa za kibaguzi, isitoshe Davis si mzawa huyu na anandugu moshi hivyo kigezo si katoka dar kigezo chetu ahadi zake zinatekelezeka, eti kupiga dili za unga unaushaidi? Hata ukikushitaki kwa kumdhalilisha c atakufunga tu ww maana huna ushahidi! Usipandikize chuki kwa kutumwa acha wanamoshi tuchuje nanaimani na wanamoshi maana Mara zote wanafanya maamuzi sahihi
 
anatumia pesa balaa kuutaka ubunge na fitina kibao wana moshi fanyeni maamuzi sahihi
 
Mtoa Mada Umesema"hawezi Kuongea Hata Kidogo" Basi Huyo Ndo Wakumchagua Kwa Maana Ukawa Ndivo Mnavojitapa Na Mgombea Wenu Lowassa Tukisema Hawez Kuongea Mnasema Siku Zote Watendaji Huwa Hawaongeag Sana.Basi Hata Huko Moshi Huyo Davis Anawafaa Kwa Sababu Si Muongeaji Atakua Ni Mtendaji Mzur..Akishinda Huyo Bas Na Lowassa Atashnda
 
Huwezi kujua kama hufatilii haya mambo!!!

Look at ths clown....
Heb sikiza kijana, i have no reason to hate or anything. Ila hamna gari la billion hapo. Huna exposure, i dnt blame u. Niambie magari yake binafsi yote yana exceed billion ntakuelewa.
 
Back
Top Bottom