Devis Mosha usicheze rafu hii ni Moshi

Devis Mosha usicheze rafu hii ni Moshi

huyu jamaa hapati ubunge hapa moshi anajisumbua tuu, wananchi hatumtaki wala nn
 
tatzo la Mosha amekuja wakati mbaya sana! kwa moshi amechemka au amuulize mama Minde na Sarakana watampa historia ya jimbo la Moshi
 
moshi watu hawa heshimu pesa wana heshimu utu akuna tajiri anayeweza lEta nyodo moshi! Kura zote ni ukawa!
 
Mi kura yangu nampa kama nyie hamto mpa ni nyie msimsemee mtu bana
 
Huyo jamaa Devis kwanza ana dharau sana kwa sababu anajiona kuwa ana pesa na anaweza nunua kila mtu sasa mwache ahonge pesa zipigwe aweke mabango kila mahali lakini atajua tareh 25 oct wananchinwa Mosh n wanamna gani
Hatuwezi chagua mtu kwa influence ya fedha hata kidog
 
tatizo hakai moshi, anafanya biashara zake dar, lini atazibua mifereji na wananchi,lina atafagia mji au kuongea na mama lishe, sasa ni kampeni ndio imempeleka moshi, kampeni ikiisha anaenda zake kuangalia matank ya gas na mafuta dar.
pia moshi na gari la bilion 1 hapafai, gari la bilioni 1 akae nalo dar
 
Jana majira ya usiku nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu kutoka moshi mimi nikiwa morogoro kiukweli alinileza jambo ambalo kwa upande wangu sikulipenda hata kidogo kuhusu anachofanya Mgombea wa CCM jimbo la Moshi Mjini Devis Mosha.

Mbali na kuliingiza jeshi la polisi katika kashfa lankini ameandaa vijana ambao usiku amewapa magari kwa ajili ya kuzunguka usiku na kubandua mabango yote ya Mgombea ubunge jimbo la Moshi Japhary Michael pamoja na ya madiwani,pamoja na sehemu nyingine kubandika juu ya mabango ya mwenzake.Hii ilipelekea septemba moja majira ya saa 12:00 jioni kutaka kusababisha kutokea mapigano katika ya wafuasi wa Devis ambao walikuwa kazini wakibandua mabango hayo ya chadema eneo la Soweto na kupelekea hadi kushikiana mapanga ambapo baadae kidogo jeshi la polisi lilifika na kukamata baadhi ya vijana lakini wa Devis kupanga kwenye gari lililokuwa na mabango yake na kuelekea kituo chan Polisi.

Devis Mosha ambae anazindua kampeni jumamosi huku akijigamba kuwa twanga pepeta itakuwepo na Kinana amejitahidi sana kubandika mapango makubwa kwneye kila eneo la Mji wa Moshi ambayo nina hakika Halmashauri itakuwa imepata mapato kwa ajili ya kujenga ushaiwishi kwa wapiga kura kitu ambacho ni haki yake.

Sina ugomvi kwa devis kubandika mabango bali ni kwa nini mgombea uchane mabango ya mgombea mwenzako kwa kigezo kwamba ni hujuma ambayo inaweza kukufanya uibuke mshindi je?watanzania au wana moshi wamekosa uwezo wa kufikiri hadi tumpe kura mtu ambaye siyo mkazi amekuja kutafuta ubunge kisha aendelee zake na biashara zake?

Uzuri mtu huyu hajui kuongea hata kidogo mimi nilihudhuria mkutano wa mgombea mwenza wa Urais Samia Suluhu ambao mkutano huo haukufikia hata wa mgombea ubunge wa chadema aliyezindua jumapili eneo la ralway na alipotakiwa kuzungumza sikumsikia kitu cha maana alichozungumza kuhusu Jimbo Langu la moshi.

Hata kama anajigamba kuwa amekuja sijui na fedha embu tusubiri tuone kama fedha inaweza kufanya kila kitu tena katika kipindi hiki ambacho wananchi wanahitaji mabadiliko,na dhambi hii ya kuwaleta watu ambao siyo wakzi wa moshi imekuwa inaendelea kuitafuna CCM mfano Justin Salakana ambaye hata mitaa ya moshi haijui sawa na Devis ambaye nae hata baadhi ya Kata hazijui.

Nimeupenda kweli Wimbo unaotumiwa na Chadema wa Lady jaydee kuwa Yahaya unaishi wapi ikiwa ni swali kwa mgombea DEVIS japo anatka kujiaminisha kuwa kwa fedha alizonazo anaweza kunua wananchi wa Jimbo la Moshi lazima tusimame kupinga udhalilishaji huu wa huyu kijana mbay inadaiwa ni rafiki wa baba rizi1 ambae wameshiriki kwa miaka mingi kupiga dili za unga sasa ndo anataka kuja kuaribu na vijana wetu Moshi.

Pitia kwa ndesa pesa

HABARI YA MJINI NI SLAA'; BAADA YA KUPULIZA DAWA YA MENDE ... WAANZA KUTOKA KWENYE MAFICHO
 
Mbunge wa moshi ni jafari huyo mwache ajisumbue tu
 
Back
Top Bottom