MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,407
Binafsi huwa natumia RescueTime: Fully Automated Time Tracking Software
Inanisaidia sana kuhakikisha sipotezi masaa kwa siku, maana mara nyingi nafanyia kazi nyumbani, na vishawishi huwa vipo vingi sana kama vile kutazama movie na mengineyo.
Kwa mfano Tarehe ya jana 25/11/2019 nilitumia masaa 13h 24m na productivity pulse yangu ilikua 67 kama picha iliyopo hapa chini inavyoonyesha.
Asilimia 10% tu ndio nilitumia kwenye tovuti za habari na mitandao ya kijamii
Naomba developers na wadau wengine tupeane maujanja ya jinsi gani tunahakikisha uzalishaji/productivity kazini.