Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
nina idea flani ambayo inaweza kukufanya ukawa millionaire zaid ya laizer....now najifunza coding....hii kitu akigundua mzungu itakua balaa nilikua natafuta mtu tufanye sema wabongo hawaaminiki nitatoka kivyangu....

Hahaha mkuu kila mtu anapita kwa njia yake....ni kitu kidogo ambacho duniani wanakikosa ukikitambua wewe ni future billionaire....tatizo waafrika nuksi tu unashangaa ww uliyetoa idea wanakucha kwenye mataa au mtu ananyakua fasta anajimilikisha...