Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 717
- 1,536
Hello wakuu.
Current anafanya migration ya system inatoka language moja inaenda nyingine, tuna shift kwa sababu hii system ina deal sana na APIs tunahamia kwenye language ambayo itatupa ufanisi kwenye utegenezaji wa API na mambo ya security.
Sasa hii system walio code, sijajua walikua wanawaza nini. variables, functions, class zina majina ya ajabu
Yani jina la function hali indicate kazi ya hiyo function
Mfano, function inayo return exchange rate kati ya usd na tzs "exchangefromusdtotzs"
Labda variable ya timestamp imeandikwa ivi "usertransactiontimeanddate"
Kiujumla kama mtu una fanya development ya app, website au chochote jaribu ku code kwa clean andika variables majina yake vizuri
Yani baadae ukija kudanya update itakutesa, yani mtu kazi ya 8 months au 10 months mnafanya mwaka na nusu