Deutch Welle yaanza uchochezi

Habari yako haijakamilika, DW wamechochea nini?
 
Na ndo wanajifanya wasomi kisa wanajua lugha ya malikia
Mwenye Enzi Mungu atuongoze. ..maana Libya ilivyo kuwa na sasa. .eeh MOLA tuepushe. ..Kuna video inapita kwenye what's up kuhusu mlibya mmoja anamshukuru Tony Blair kwa kumwondoa Ghadafi. ..bahati kuna mzungu mwingine aka blast kweli kweli huyo mlibya anaishi uwingereza miaka yote. ..hiyo video ni ndefu sitaweza kuweka humu. ..lakini it was a lesson learned. ..
 
Mwambie azime kama anaweza hahahaaa
 
Watumbueni na ikiwezekana kifungiwe kama mnaubavu.. mmezoea na sasa mmepatikana. Ngoja wakaze kamba mpaka kieleweke kwa watawala madikitete.
 
Kuna watu bora mkae tu bila kuanzisha thread, kumbuka hamlipwi.
Uandishi mbovu, unamshitaki mtu bila kutaja kosa, watu design yako wamejaa sana nchini ndiyo maana kwenye index ya nchi za watu wenye akili tunachukuliwa kama tuna IQ ya chini sana.
 
Acha bangi dogooo DW; nani amekwambia cha TZ.

Kama nakuona unavyokong'oliwa na msongo wa mawazo siku ifuatayo itakuaje???
Sio cha hapa ila kina watangazaji hapa na kinasikika hapa. Kikifungiwa maana yake hakitatangaza hapa kwa ruhusa ya Serikali yetu, bali kitatangaza kwa frequency za kimataifa.
 
Pambaf zako.,ni nn ss umeandika hapa?C useme walichokisema hadi weye punguani ukaona ni uchochezi.Nyooo.
 
Kuna watu bora mkae tu bila kuanzisha thread, kumbuka hamlipwi.
Uandishi mbovu, unamshitaki mtu bila kutaja kosa, watu design yako wamejaa sana nchini ndiyo maana kwenye index ya nchi za watu wenye akili tunachukuliwa kama tuna IQ ya chini sana.
Huyu mleta mada ni punguani kabisa kwa akili yake anajua DW ni kituo kilichopo na kinachomilikiwa hapa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…