Deutch Welle yaanza uchochezi

Unapunga upepo mdogo mdogo wakati ndugu zako Simiyu wanaangamia. Mkiambiwa ukweli mnasema uchochezi? Umesoma nyaraka za Mashekhe na Baraza la Maaskofu? Shupazeni mashingo tu.....
 
Mtoa post mbona kama umelewa vip Dadavua mada iekeweke ni ucjochezi gani huo
 
mkulu amesema kisipojirekebisha kipo njiani kutumbuliwa kwa sababu serikali yake ya utumbuaji haitavumilia
 
Hicho kiswahili huenda hata hukijui ndo maana hata DW Swahili hukuwaelewa unasema wanachochea
 
Dw wanasema Ukweli na siku zote Ukweli unauma! Cha ajabu Tanzania Ukweli umegeuka kuwa Uchochezi Dunia inashangaa.
 
Sisi tumeambiwa gunia moja la mahindi ngombe mmoja tuuze,ngombe wenyewe wanakufa njaa wewe wanywa juisi magogoni,haki ya Mungu aliyenidanganya Oktoba 2015 sitamsahau.
 
Ujumula [emoji735]
Ujumla [emoji736]


Kalibun[emoji735]
Karibuni [emoji736]
 
Acha bangi dogooo DW; nani amekwambia cha TZ.

Kama nakuona unavyokong'oliwa na msongo wa mawazo siku ifuatayo itakuaje???
Mi sio dogo mimi ni kaka yako ki umuri na kifedha pia
 
Hahaaa mkuu

unkunywa juisi magogoni huku unapungwa upepo

Juisi zimeanza lini?

Nasikia kwenye hafla ni mwendo wa madumu ya chibuku
Hapana mkuu mara moja moja leo si weekend kiongoz wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…