Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,318
Habari wadau wa JF,

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya, aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.

"Baada ya kushauriana na Watu wangu wa karibu, wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki na familia yangu nimeamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Week ijayo nitatangaza wazi azma yangu hiyo mbele ya vyombo vya habari na na pia nitaeleza sababu za kuamua kuachana na CHADEMA"

Mwisho wa Kunukuu.
 
Habari wadau wa JF,

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya,aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.

Katumwa tena! yarabi!
 
Tutaambiwa ACT ni chama cha Wachagga muda si mrefu!
 
  • Thanks
Reactions: 999
Uhuru wa Siasa ni tofauti na Uhuru wa Kuahudu. Hata huko anaweza kuhama kikianzisha chama kingine
 
Huyu jamaa lazima huko ale sahani moja na roho ya Mwl.Kaijage au Zitto, wawe makini wasije kumfata Chacha mbele za haki.
 
Tushuhudie kifo kibaya kibaya sana mwaka huu kwa chadema si mnasema zzk si lolote mbele ya chama? Kwa kuwamegea tu ivi mnakumbuka ule waraka mliousambaza makanisani kabla na baada ya uchaguzi? Kitaeleweka tu
 
Back
Top Bottom