Deus Kibamba ni nani katika siasa za kimataifa?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau leo wakati wa taarifa ya habari ya BBC nimemsikia mtangazaji akimtaka Deus Kibamba auzungumzie mgogoro wa Sudan.Ninaomba mwenye kumfahamu huyu bwana atujuze.
 
wadau leo wakati wa taarifa ya habari ya BBC nimemsikia mtangazaji akimtaka Deus Kibamba auzungumzie mgogoro wa Sudan.Ninaomba mwenye kumfahamu huyu bwana atujuze.
Aliwahi kuwa mwenyekiti wa jukwaa la katiba enzi hizo.
Baada ya awamu ya tano amesitisha harakati zake. Si yeye tu ambaye hasikiki pia wamo Marcus Alban na Hebron Mwakagenda pia harakati zao zimefifia awamu hii
 
BBC wameona Sudan wamekuja huku kutafuta business wanaanza mauza uza yao na wanatafuta watanzania wamwaga sumu kuwahoji
 
Aliwahi kuwa mwenyekiti wa jukwaa la katiba enzi hizo.
Baada ya awamu ya tano amesitisha harakati zake. Si yeye tu ambaye hasikiki pia wamo Marcus Alban na Hebron Mwakagenda pia harakati zao zimefifia awamu hii
"Marcus Alban"
Huyu Jamaa aliwahi kugombea ubunge morogoro ,sina hakika ya Jimbo, na aligombea kwa tiketi ya chama cha chadema , toka kipindi hicho, baada ya kushindwa sijawahi msikia tena.
 
Aligombea morogoro mjini, yupo na bado anaendeleza harakati zake ila kama ujuavgo zama tulizomo ni zama za waimba sifa tuu ndio hupata nafasi kusikika
"Marcus Alban"
Huyu Jamaa aliwahi kugombea ubunge morogoro ,sina hakika ya Jimbo, na aligombea kwa tiketi ya chama cha chadema , toka kipindi hicho, baada ya kushindwa sijawahi msikia tena.
 
"Marcus Alban"
Huyu Jamaa aliwahi kugombea ubunge morogoro ,sina hakika ya Jimbo, na aligombea kwa tiketi ya chama cha chadema , toka kipindi hicho, baada ya kushindwa sijawahi msikia tena.
Mbona amejaa tele na yupo sana Facebook kiasi kwamba wasiojulikana wameshamnyatia mara kadhaa
 
Aliwahi kuwa mwenyekiti wa jukwaa la katiba enzi hizo.
Baada ya awamu ya tano amesitisha harakati zake. Si yeye tu ambaye hasikiki pia wamo Marcus Alban na Hebron Mwakagenda pia harakati zao zimefifia awamu hii
Siyo zimefifia bali wameamua kwa makusudi kushika breki maana uwanja wenyewe umejaa sana barafu
 
Aliwahi kuwa mwenyekiti wa jukwaa la katiba enzi hizo.
Baada ya awamu ya tano amesitisha harakati zake. Si yeye tu ambaye hasikiki pia wamo Marcus Alban na Hebron Mwakagenda pia harakati zao zimefifia awamu hii
Jikite kwenye mada kama ulivyoulizwa
 
Back
Top Bottom