Deus Kibamba: Maendeleo endelevu yatapatikana kwa kupunguza maslahi ya viongozi wa kisiasa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo zimekuwa kubwa sana ikilinganishwa na stahiki za watumishi wa taaluma mbalimbali.

Kibamba ameongeza kuwa hali hii imesababisha watu wengi kuacha taaluma zao na kujiingiza katika siasa kwa lengo la kupata maslahi hayo makubwa, jambo ambalo linaathiri ukuaji wa sekta za taaluma na uchumi kwa ujumla.

Kibamba ametoa maoni haya leo, Julai 10, 2025, katika kipindi cha Mada Kuu cha TBC1 kilichojadili mada ya: “Kunani Bungeni.”

Nchi kila mwaka ina bajeti ya kununua magari ya wakuu wa mikoa, wilaya tena magari ya bei mbaya lakini matundu ya vyoo katika shule yajengwe kwa msaada wa mabeberu.
Have you ever seen this paradox anywhere in the world.
VX ni muhimu kuliko kuhifadhi mavi. VX ni muhimu kuliko mtoto kukanyaga mavi na kupata kipindupindu. Where are our priorities???
 
Hiyo ni fact. Watu wanaacha nafasi muhimu za kitaifa Ili kugombea ubunge wakavune mamilioni ya kutosha baada ya miaka mi5
 
Nchi ya ULAJI !!!!
Tumeruhusu ulaji Kwa kuleta siasa kila sehemu

Siku tukigeukia serikali na kudai uwajibikaji haya yote yataisha

Many government officials are not responsible vecause wanajua bongo kila kitu mtamtupia mwanasiasa

Change the focus
 
Utawasikia wakisema sisi ni wazalendo wa taifa hili🤣
"This country bwana is very poor"
Mrisho Mpoto umetusaliti watu maskini ulikuwa sauti yetu hata kama wasingesikia ulikuwa unatupa faraja kwa mashairi.
Nenda mjomba nenda mjomba dudu likuumalo usilipe kidole. Ooooh Adela.
Kuendekeza tumbo ni nyoko
 
Tumeruhusu ulaji Kwa kuleta siasa kilq sehemu

Aiku tukigeukia serikali na kudai uwajibikaji haya yote yataisha

Many government officials are not responsible vecause wanajua bongo kila kitu mtamtupia mwanasiasa

Change the focus
Unadai kwa mazingira gani kamuulize Prof. Assad kwa kalamu yake alijitahidi kufanya hivo
 
Utawasikia wakisema sisi ni wazalendo wa taifa hili🤣
"This country bwana is very poor"
Mrisho Mpoto umetusaliti watu maskini ulikuwa sauti yetu hata kama wasingesikia ulikuwa unatupa faraja kwa mashairi.
Nenda mjomba nenda mjomba dudu likuumalo usilipe kidole. Ooooh Adela.
Kuendekeza tumbo ni nyoko
Again

You miss the target…. Kosa ni sisi kufanya vyama vya siasa na bunge kuwa ngao yetu

Turudi kuipa serikali umuhimu
 
Nchi kila mwaka ina bajeti ya kununua magari ya wakuu wa mikoa, wilaya tena magari ya bei mbaya lakini matundu ya vyoo katika shule yajengwe kwa msaada wa mabeberu.
Have you ever seen this paradox anywhere in the world.
VX ni muhimu kuliko kuhifadhi mavi. VX ni muhimu kuliko mtoto kukanyaga mavi na kupata kipindupindu. Where are our priorities???
Na hayo ma v8 ni kodi zetu
 
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo zimekuwa kubwa sana ikilinganishwa na stahiki za watumishi wa taaluma mbalimbali.

Kibamba ameongeza kuwa hali hii imesababisha watu wengi kuacha taaluma zao na kujiingiza katika siasa kwa lengo la kupata maslahi hayo makubwa, jambo ambalo linaathiri ukuaji wa sekta za taaluma na uchumi kwa ujumla.

Kibamba ametoa maoni haya leo, Julai 10, 2025, katika kipindi cha Mada Kuu cha TBC1 kilichojadili mada ya: “Kunani Bungeni.”

Ni unyonyaji na ubinafsi wa viongozi wetu hadi kufikia kuweka malipo ya wenzi wa viongozi.
 
Siasa za Tanzania zilipinga kila aina ya unyonyaji, sasa hivi zinahalalalisha unyonyaji dhidi ya walio wengi.

Tofauti kubwa ya mishahara na marupurupu kwa watumishi wanaolipwa kutokakana na kodi ya wananchi ni aina ya mpya unyonyaji.

Vita dhidi ya tofauti kubwa ya kipato yaweza kufanikiwa kwa walalahoi kujitambua na kupambania matumizi sahihi ya kodi zao.
 
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo zimekuwa kubwa sana ikilinganishwa na stahiki za watumishi wa taaluma mbalimbali.

Kibamba ameongeza kuwa hali hii imesababisha watu wengi kuacha taaluma zao na kujiingiza katika siasa kwa lengo la kupata maslahi hayo makubwa, jambo ambalo linaathiri ukuaji wa sekta za taaluma na uchumi kwa ujumla.

Kibamba ametoa maoni haya leo, Julai 10, 2025, katika kipindi cha Mada Kuu cha TBC1 kilichojadili mada ya: “Kunani Bungeni.”

Naunga mkono hoja yake
 
Yuko sahihi, wanalipwa pesa za kutisha katika umaskini uliotopea, haiwezekani posho tu ya siku ya mbunge iwe sawa na mshahara wa mwalimu kwa mwezi alafu tutegemee taifa liwe endelevu huo ni ujuha na ujinga wa mtu mweusi
 
Hizi ndo hoja za maana Mbunge kwa kazi gani anayofanya ngumu mpaka anakuja 20M kwa mwezi Afrika ina laana serikali za Afrika zinaendekeza anasa wakati wananchi wake maskini wa kutupwa
 
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Deus Kibamba, ameshauri kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu, ni muhimu kupunguza maslahi na stahiki mbalimbali wanazopata viongozi wa kisiasa, ambazo zimekuwa kubwa sana ikilinganishwa na stahiki za watumishi wa taaluma mbalimbali.

Kibamba ameongeza kuwa hali hii imesababisha watu wengi kuacha taaluma zao na kujiingiza katika siasa kwa lengo la kupata maslahi hayo makubwa, jambo ambalo linaathiri ukuaji wa sekta za taaluma na uchumi kwa ujumla.

Kibamba ametoa maoni haya leo, Julai 10, 2025, katika kipindi cha Mada Kuu cha TBC1 kilichojadili mada ya: “Kunani Bungeni.”

maendendeleo hayakwamishwi na maslahi ya viongozi ,bali wananchi kuwa wavivu wa kufanya kazi ,hivyo kusababisha ulipaji nmdogo wa kodi .matokeo yake bajeti haitekelezeki
 
Back
Top Bottom