Dettol na matumizi yake

Dettol na matumizi yake

mimisa

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,511
Reaction score
1,441
Je,kuna madhara yyt kiafya yatokanayo na utumiaji wa dettol ya maji kila siku wakati wa kuoga?...msaad tutani jaman
 
Mimisa,

Dettol kwangu imekuwa a household general antiseptic/antifungal tangu nilipokuwa mtoto. Mara nyingi tulitia kijiko kimoja kwenye ndoo ya maji ya kuogea au vijiko 3 kwenye bathtub. Hii ilikuwa kusaidia kuzuia skin diseases in lieu of medicated soaps.

Kwa sababu dettol ni anti-bacterial na anti-fungual wakina mama huitumia kwa ku-douche (vaginal irrigation) au kuchamba. Make sure you irrigate uke wote na sio nnje tu. Wanasema inasaidia kukabiliana na feminine odors na pia inaleta temporary relief ya yeast infection (naomba kama kuna mwenye personal testimony au pingamizi atuletee)

Hapa chini naweka maelezo ya Wikipedia ya active ingredient (Chloroxylenol) iliyomo kwenye dettol:

Chloroxylenol (4-chloro-3,5-dimethylphenol) is an antimicrobial chemical compound used to control bacteria, algae, and fungi in adhesives, emulsions, paints, and wash tanks.[SUP][2][/SUP] It is also commonly used in antibacterial soaps and household antiseptics such as Dettol liquid and cream, and ointments, such as the now discontinued Medicated Vaseline.[SUP][3][/SUP] Studies have shown a low anti microbial activity which is enhanced by additives. Its antibacterial action is due to disruption of cell membrane potentials.[SUP][4][/SUP]
Chloroxylenol is not significantly toxic to humans and other mammals, is practically non-toxic to birds, moderately toxic to freshwater invertebrates and highly toxic to fish.[SUP][2][/SUP] It is a mild skin irritant and may trigger allergic reactions in some individuals. Cross sensitivity with chlorocresol is common.[SUP][3][/SUP]
 
mimi sio dokta ila nasikia mambo ya safisha ndani ya uke kwa dettol ni kuwa unaua good bacteria ambao wanasaidia kukinga magonjwa ya ndani ya uke.

kisukari unaweza kuwa sahihi na hiyo concern yako. Mimi swahiba wangu wa karibu sana - not girlfriend- ndie aliyenibonyeza kuwa aki-douche kutumia maji yaliyo changanywa na dettol (diluted) inampa nafuu kwa matatizo kama niliyoyasema awali. Usiniulize tulikuwa tunazungumza nini mpaka tukafikia hapo - he he he.
 
huwa napenda kutumia dettol ya maji kidogo na ya sabuni wakati wa kuoga
huwa najihisi niko fresh sana nikitumia hivyo, sijapata nayo shida toka nianze kuitumia.
 
asante sana Kifyatu..maana nilikua naitumia sn pamoja na sabuni ya dettol,imechukua muda kiasi tatzo la kuwashwa mwili mzima baada ya kuoga likaanza..ss sijaelewa adi ss sababu ni nini..

Back
Top Bottom