Na wanaume kuwa na Govi ni kawaida tuu!◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume
◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake wanakula kivyao na wanaume kivyao
◇Mwanamke lazima uanze kumsalimia mmeo tena kwa kisukuma hhuna kiswahili
◇ wageni wakija lazima uwasalimie kwa kisukuma
◇ Mkipangwa kula na wageni kwa mtoto huruhusiwi kuchukua nyama kabla ya mgeni
◇ kwenye kuitna sasa mwanaume wa kisukuma hawezi kukuita jina lako badala yake atakuita ng'wanajuma 😁(maana ake mtoto wa juma)
Naishia hapo
Habari yako shemeji.Wajita kweli mnaongea.Hawa watu nawakubali wamenyooka sana hasa wale wanyantuzu siyo kama siye wajita maneno miiingiii ujuaji wa kijinga kabisa
Umesahau wanaune wana msimamo wamenyooka kama rula wakisema hawarudii mara mbili na wanapiga sana wake zao◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume
◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake wanakula kivyao na wanaume kivyao
◇Mwanamke lazima uanze kumsalimia mmeo tena kwa kisukuma hhuna kiswahili
◇ wageni wakija lazima uwasalimie kwa kisukuma
◇ Mkipangwa kula na wageni kwa mtoto huruhusiwi kuchukua nyama kabla ya mgeni
◇ kwenye kuitna sasa mwanaume wa kisukuma hawezi kukuita jina lako badala yake atakuita ng'wanajuma 😁(maana ake mtoto wa juma)
Naishia hapo
Wajita pumbavu zenu! Naishukuru sana Mikurya ilivyowakaba mpaka hampumui!Hawa watu nawakubali wamenyooka sana hasa wale wanyantuzu siyo kama siye wajita maneno miiingiii ujuaji wa kijinga kabisa
Hapo kwenye kupiga wake umetusingizia! Siyo jadi yetu hiyo!Umesahau wanaune wana msimamo wamenyooka kama rula wakisema hawarudii mara mbili na wanapiga sana wake zao
Pumbavu zao
- Mwanamke akimletea maji ya kunywa mwanaume atapiga goti kwa heshima mpaka amalize kunywa
◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume
◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake wanakula kivyao na wanaume kivyao
◇Mwanamke lazima uanze kumsalimia mmeo tena kwa kisukuma hhuna kiswahili
◇ wageni wakija lazima uwasalimie kwa kisukuma
◇ Mkipangwa kula na wageni kwa mtoto huruhusiwi kuchukua nyama kabla ya mgeni
◇ kwenye kuitna sasa mwanaume wa kisukuma hawezi kukuita jina lako badala yake atakuita ng'wanajuma 😁(maana ake mtoto wa juma)
Naishia hapo
Ndio maana hujaolewaPumbavu zao