Wakuu
Huo mtazamo hapo juu hua unasemwa na wazungu lakini tunalipuka kulaumu kiuhalisia huo ndio ukweli wenyewe.
Tuangazie mambo machache kabisa na visa kadhaa.
Angalia kama uongozi katika shirika fulani kama kiongozi alikua mzungu halafu akaondoka akamwacha kiongozi mweusi hakika hilo shirika uhai na ufanisi wake ni mdogo kupita maelezo hata kama kila kitu ataachiwa kama kilivo, au angalia hospital ambayo kiongozi ni mzungu au mtoa huduma ni mzungu unaweza kufikia kusema hawa madaktari wetu wanaopasua kichwa badala ya mguu walisomea wapi?
Wazungu wanapambana kujenga nchi zao wakishazijenga tena kwa rasilimali kutoka kwetu na sisi kama nyumbu kila siku tunalilia kwenda kwao huku kwetu tukiharibu, yaani tunaacha rasilimali kwetu kosa tutumie kujenga kwetu tunaenda walikojenga wengine, wao wanatoka kwao kuja kutafuta kwetu na kujenga kwao sisi tupotupo tu hatujui lolote.
Angalia kama kuna kiongozi mzungu anaeiba pesa nchini kwake na kuja kuficha Afrika kamwe huwezi kumkuta lakini viongozi wetu fahari kuiba na kwenda kuficha nje huko, au kiongozi mwingine anajenga majumba huko ulaya wakati wala mzungu hawezi kujenga nyumba afrika zaidi atakuja kutalii na kuwekeza.
Angalia nyumba anayokaa mzungu inakua na garden na maua safi akihama hapo akiachiwa black miezi miwili ni mingi nyasi na maua yote utakuta yameshakauka,
Angalia hotuba za viongozi wao huwezi kukuta mifano ya ngono na pombe lakini viongozi weusi bila mifano ya ngono na pombe bado wanaona hawajaeleweka kiufupi tunapenda ngono na kuiwaza muda wote.
Mtazamo wa mtu mweusi kiuhalisia ni hafifu kwenye mambo mengi kuliko kawaida kwa mfano watu walitaka uhuru wa nchi zao ndio wakapewa ajabu nchi zimekua maskini kuliko zilivokua na wakolonj hapo ndio utajua kuna tatizo yaani wanakuita ukakope mapesa kwao, unaenda kama mbuzi unakopa, Ukishindwa kulipa inabidi waangalie rasilimali ya kuchukua yaani madini au mali zozote ili wafidie madeni kiufupi ujue bado mnatawaliwa japo mlipandisha bendera zenu wakatoa zao maana njia kuu za uchumi haumiliki wewe inatia hasira lakini ndio basi tena.
Hebu weka visa vingine tujifunze tuone tunakwama wapi.