Desperate single women, acheni complication

Kwajiri = kwa ajili.

Kwanza kabisa acha kusema vitu ambavyo huna uhakika navyo.
Nikiomba uthibitisho wa hayo usemayo utanipa kuwa wanawake tajwa hapo juu ni wateja wa waganga wa kienyeji kusafisha nyota na kununua mgagani utaleta?

Kwahiyo ulitaka mwanamke akifikisha umri mkubwa bila kuolewa awe zoa zoa? Atoke na mtu hata kama haeleweki kisa?
We ni nani kuwapangia watu maisha wakati huwalipii bills?
Sasa kama we sio HB pole sanaaaa mana ndo hali halisi na utaendelea kupigwa chini tu maana hamna nyingine.
acha maHB wajifaidie we endeleza malalamiko kwa kuanzisha thread JF
Mi nnavyoona we ndo desperate ndomaana umekuja kulalamika hapa ili labda uhurumiwe.
 
lazima yatakuwa yamelegea we angalia ukiwa unasex utaona yanafanya kama kuchapa k, kijana wa miaka 22 yamekaza.tena nyie wanaume mkifika 29 kuendelea mnaaza kuchakaa na mnachakaa vibaya mno basi ni vile tu sie wanawake ni wavumilivu.
Khaaaaa we mdada umefanya nikomenti bila kupenda, nimekusoma weeee nimeshindwa kujizuia loooh! yaani we huwa uko bize kufanya utafiti kumbeeeee
 
Nimerusha jiwe gizani mwakwetu! kama.limekupata niwie radhi,kwa jinsi ulivyoshusha jazba sio bure! pia siamini kama ume comment kama coincidence
 
Nimerusha jiwe gizani mwakwetu! kama.limekupata niwie radhi,kwa jinsi ulivyoshusha jazba sio bure! pia siamini kama ume comment kama coincidence
Pole sana.
1. Mi siko single na wengi tu humu wananijua na wanajua hilo. Na wala umri wangu haujafikia huko ulikozungumzia, na hata kama ungekuwa umefika pia ningefanya nnachotaka sio nnachotaka wewe.

2. Sina cha kukuwia radhi mana inaonekana unyanyasaji ni tabia yako.

3. Unakachoamini hakinihusu hivyo sina haja ya kukifahamu.

Mwisho kabisa waache watu waishi wapendavyo na sio upendavyo wewe
 
with me i make comment on issue which contain some facts, this topic has fulfilled that. Judge it basing on other peoples observation not just your own feelings
 
with me i make comment on issue which contain some facts, this topic has fulfilled that. Judge it basing on other peoples observation not just your own feelings
You came with your opinion and call it facts? Smh
 
You came with your opinion and call it facts? Smh
Huyo mkalamba hajui asichojua muonee huruma tu.

Anafikiri kwa sababu kila mtu analala chini ya mapango kijijini kwao basi watu wote wanalala mapangoni.
 
Huyo mkalamba hajui asichojua muonee huruma tu.

Anafikiri kwa sababu kila mtu analala chini ya mapango kijijini kwao basi watu wote wanalala mapangoni.
Hata mi naona kuwa Hana analojua na mbaya zaidi anadhani watu wote ni kama yeye, na kama vile hiyo haitoshi hajui kuwa hajui.

Ila nimecheka sana swala la watu kulala chini ya mapango huko kijijini kwao maana hapa sasa ndo tunaona madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…